Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Wana jamvi kwa taarifa nilizopata muda so mrefu ni kuwa Askofu machachari (Kilaini) amerejeshwa makao makuu ya kanisa Katoliki kujieleza kufuatia kuhusishwa na wizi wa fedha za uma katika account ya escrow

Na huenda akasimamishwa kuhudumia kondoo wa bwana kulingana na sheria za kanisa.

Tususiri kuona nini kitatokea.
 
Toka mwanzo Askofu Kilaini alishema JK ni chaguo la Mungu. Nadhani amelipwa hizo hela kwa kuliona hilo. Kwa Papa Francis wa sasa kama atapewa taarifa vizuri, Kilaini hachomoki hapo. Kilaini si mchunga kondoo, bali anawaua kondoo.
 
Makao makuu ya kanisa yapo Vatican.

Do you mean The Holy See a.k.a Vatican? Kweli ngoma inogile. Yafaa hata waumini kumsusia huyu Askofu.
 
Toka mwanzo Askofu Kilaini alishema JK ni chaguo la Mungu. Nadhani amelipwa hizo hela kwa kuliona hilo. Kwa Papa Francis wa sasa kama atapewa taarifa vizuri, Kilaini hachomoki hapo. Kilaini si mchunga kondoo, bali anawaua kondoo.

pesa ilimuuua yesu
 
Ccm bwana kwahiyo ous unataka kutuamimisha kuwa Tanzania Haina makao makuu ya kanisa

Mkuu hata mimi mwanzoni nilidhani unamaanisha Vatican. Makao makuu ya Kanisa Katoliki yapo Vatican tu na sio mahali pengine popote! Wala hakuna kitu kinachoitwa Makao (sembuse Makuu) ya Kanisa Katoliki Tanzania; hakuna.

Kikanisa, nchi imegawanyika katika majimbo ambayo yanaongozwa na maaskofu ambao kila mmoja anaripoti kwa Papa moja kwa moja. Unapoitazama Tanzania kwa jicho la Papa (Vatican) kinachoonekana ni Majimbo na maaskofu wake.
 
Yohana Mbatizaji wenztu wanamwita Yahaya.Alitabiri ujio wa Yesu na alipombatiza alijua ila akiwa gerezani akapata mashaka tena na kuuliza tena.JK anabaki chagua la Mungu na inathibitika kwani anaimaliza CCM bila watanzania kumwaga tena Damu.
 
Mkuu hata mimi mwanzoni nilidhani unamaanisha Vatican. Makao makuu ya Kanisa Katoliki yapo Vatican tu na sio mahali pengine popote! Wala hakuna kitu kinachoitwa Makao (sembuse Makuu) ya Kanisa Katoliki Tanzania; hakuna.

Kikanisa, nchi imegawanyika katika majimbo ambayo yanaongozwa na maaskofu ambao kila mmoja anaripoti kwa Papa moja kwa moja. Unapoitazama Tanzania kwa jicho la Papa (Vatican) kinachoonekana ni Majimbo na maaskofu wake.

Labda anamaanisha ofisi za baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC)
 
Wana jamvi kwa taarifa nilizopata muda so mrefu ni kuwa Askofu machachari (Kilaini) amerejeshwa makao makuu ya kanisa Katoliki kujieleza kufuatia kuhusishwa na wizi wa fedha za uma katika account ya escrow

Na huenda akasimamishwa kuhudumia kondoo wa bwana kulingana na sheria za kanisa.

Tususiri kuona nini kitatokea.

Naongezea hili pia: Tunakuomba makao makuu ya kanisa katoliki Tanzania pia limuite na kumuhoji Padre Peter wa parokia ya Emboreeti Simanjiro ajieleze ni kwanini anatumia misaada iliyotolewa na wa Irish kama ambulance kubebea bia na soda? na nikwanini anawacharge ghali laki mbili just one way kumpeleka mgonjwa Arusha mjini? na nikwanini anauza MAJI wakati waliotoa msaada huo ni kuwasaidia wanakijiji? Kanisa fuatilieni hili, pale sio mahali pa kufanyia biashara,na majibu yake ya dharau , uhusiano mzuri uliokuwepo na wanakijiji na kanisa miaka ya nyuma umepoteza sura yake kabisa!
 
Kama ulidhani yapo Dar umepotoka hata mamlaka ya kardinali Pengo yapo Dar na Pwani kwenda majimbo mengine hadi aalikwe, ndo mambo mengi ya kiutawala yanatoka Vatican ni hii imelisaidia kanisa kuepusha migogoro ya kiuongozi,

Ccm bwana kwahiyo ous unataka kutuamimisha kuwa Tanzania Haina makao makuu ya kanisa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom