Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

Ninachojua mimi kanisa katoliki halitakulupuka ila litatenda haki, kwani ni kanisa lenye watumishi wasomi na wenye kujitambua. Hivyo najua watakaa na kutupatia majibu ya sintofahamu hii inayochafua sura ya kanisa.
 
Nachelea kuamini kuwa maaskofu wanaripoti moja kwa moja Vatican, Cardinal kawaida ndo mkuu wa mambo ya kikatoliki katika nchi pamoja na hayo anakuwepo pia balozi wa papa na lipo pia baraza la maaskofu ambalo ndo msemaji mkuu wa kanisa katika nchi. Panapotokea jambo la kukiuka maadili wanajadiliana na kumshauri Papa. Hapo ndo papa anachukua maamuzi. Ndugu wadau rejea sakata la Padri Nkwera. Na hata kuteuliwa kwao kardinali ndie anapendekeza kwa papa.

Pengo ni Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Dar es Salaam. Yeye yupo sawa na maaskofu wengine wa majimbo mengine. Hakuna askofu wa jimbo anayeripoti kwa Pengo. Cheo cha ukardinali siyo daraja. Kuna daraja la upadri, uaskofu. Lakini mmisionori na kardinar siyo daraja. Kardinary ni mshauri wa papa. Sheria za kanisa zinaruhusu hata mlei kuwa kardinari. Nchi kama Brazili na nchi nyingine za latin America zina makardinali ambao ni mapadri.

Privilege ya kardinar ni nafasi ya kuchagua au kuchaguliwa kuwa papa. Ikitokea markadinari wakachagua kardinar ambaye ni padri, basi inaendeshwa kwanza ibada ya kumsimika awe askofu. Hii ni kwasababu papa ni askofu mkuu wa jimbo la Roma.

Kardinar Pengo anajua kwamba yeye siyo mkuu wa kanisa katoliki Tanzania lakini kwa kupenda makuu yeye unyamaza kimya na kuacha upotoshwaji huu uendelee. Kila askofu mkuu ndo top katika jimbo lake. Kilaini ni askofu msaidizi jimbo la Bukoba, hivyo anaripoti kwa askofu mkuu jimbo la Bukoba. Hawezi kuitwa Dar es Salaam.
 
Unaongea uongo hadharani...mbafu kabisa

Pengo ni mtu mdogo sana...Ana heshima tuu ya Ukadinali kwakuwa anamchagua Papa..

Vinginevyo ni mtu mdogo sana....Yeye ni Askofu mkuu wa Jimbo kuu la DSM bhaaas
 
Pengo ni Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Dar es Salaam. Yeye yupo sawa na maaskofu wengine wa majimbo mengine. Hakuna askofu wa jimbo anayeripoti kwa Pengo. Cheo cha ukardinali siyo daraja. Kuna daraja la upadri, uaskofu. Lakini mmisionori na kardinar siyo daraja. Kardinary ni mshauri wa papa. Sheria za kanisa zinaruhusu hata mlei kuwa kardinari. Nchi kama Brazili na nchi nyingine za latin America zina makardinali ambao ni mapadri.

Privilege ya kardinar ni nafasi ya kuchagua au kuchaguliwa kuwa papa. Ikitokea markadinari wakachagua kardinar ambaye ni padri, basi inaendeshwa kwanza ibada ya kumsimika awe askofu. Hii ni kwasababu papa ni askofu mkuu wa jimbo la Roma.

Kardinar Pengo anajua kwamba yeye siyo mkuu wa kanisa katoliki Tanzania lakini kwa kupenda makuu yeye unyamaza kimya na kuacha upotoshwaji huu uendelee. Kila askofu mkuu ndo top katika jimbo lake. Kilaini ni askofu msaidizi jimbo la Bukoba, hivyo anaripoti kwa askofu mkuu jimbo la Bukoba. Hawezi kuitwa Dar es Salaam.

Maelezo mazuri..Naomba nikusahihishe hapo.

Kuna Metropolitan 5 Tanzani
Arusha Metropolitan
Dar es Salaam Metropolitan
Mwanza Metropolitan
Songea Metropolitan
Tabora Metropplitan

Bukoba sio Jimbo kuu(Metropolitan)

Kwahiyo Kilaini anatakiwa kuripoti kwa Askofu mkuu wa Metropolitan ya Mwanza yani Rwaichi...
 
[QU OTE=MCHONGANISHI;11279310]Roman Catholic bhana! Kulawiti walawiti mapadre, Unga wauze wao, Pesa za umma waibe wao, wazitakatishe na Bank Yao! Afu wanasimama boldly kukosoa wenzao! Au vile vitabu walivyoongeza kwenye Biblia Yao vinaruhusu?[/QUOTE]
Mkuu an individual character can not be generalized.....kuna masheikh tumewahi kusikia they are pedophilic, kupenda kufanya mapenzi na watoto wadogo and hence they choose to become walimu wa madras kirahisisha kuwapata watoto..... Can that be generalized to all madras teachers?? The answe is NO.... Let's take this issue as individual.... Ukisema wabunge wa CCM ni hovyo but we have ones like Deo Filikunjombe who are not.... Tukisema wapinzani ni wasaka tonge it's not all of them.... Let's be great thinkers and not sinkers...
 
Nachelea kuamini kuwa maaskofu wanaripoti moja kwa moja Vatican, Cardinal kawaida ndo mkuu wa mambo ya kikatoliki katika nchi pamoja na hayo anakuwepo pia balozi wa papa na lipo pia baraza la maaskofu ambalo ndo msemaji mkuu wa kanisa katika nchi. Panapotokea jambo la kukiuka maadili wanajadiliana na kumshauri Papa. Hapo ndo papa anachukua maamuzi. Ndugu wadau rejea sakata la Padri Nkwera. Na hata kuteuliwa kwao kardinali ndie anapendekeza kwa papa.

Ukardinar siyo daraja. Katika kanisa hatuna daraja la ukardinar. Ukardinar ni jukumu anapewa muumini la kuwa mshauri wa Baba mtakatifu. Muumini huyo aweza kuwa mlei, padri, au askofu. Nchi za Latini America zina cardinals ambao ni baadhi yao ni mapadri.

Privilege ya kardinar ni kuchagua ama kuchaguliwa kuwa Holy See yaani Papa. Katika mkutano wao wa kuchagua papa,makadinar umchagua mmoja wapo ili awe papa kwa kuzingatia umri, uelewa n.k. Ikitokea wakamchagua cardinal ambaye ni padri, basi hawaanzi kuwasha moshi mweupe. Wanafanya ibada ya misa kwanza humo kwenye jumba lao na kumsimika uaskofu huyo padri. Sababu Baba mtakatifu ni Askofu Mkuu wa Jimbo la Roma. Kisha ndo watawasha moshi mweupe na kumtoa nje huyo askofu mpya wa Roma na ndo holy see.

Balozi wa Vatican huyo ni political figure. Sababu Vatican City ni nchi na raisi wake ni papa na ina mausiano ya kibalozi na nchi nyingine. Ila kuna baadhi ya ripoti maaskofu wa majimbo umpa balozi wa Vatican azifanyie kazi na kuzituma Vatican.

Askofu msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Bukoba baba askofu Kilaini hawezi kuitwa kwa Kardinar Pengo. Sababu bosi wa Kilaini ni askofu mkuu wa jimbo la Bukoba. Pia askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam hawezi kumwingilia askofu mkuu wa jimbo la Bukoba.

Askofu mkuu wa jimbo la Bukoba na askofu mkuu jimbo la Dar es Salaam wanaweza kila mmoja kumuuliza msaidizi wake kuhusu hizo fedha.

Ugumu ninao uona mimi ni kwamba daraja la uaskofu halivuliwi. Hakuna mwenye uwezo wa kuwavua uaskofu hapa duniani. Unaweza kuwaondolea madaraka na shughuli fulani fulani lakini siyo daraja. Hata kwenye issue ya askofu Milingo wa Zambia, baba mtakatifu alimuita akae Vatican.

Kwa mantiki hiyo sioni uwezekano wa Pengo kumuita Kilaini Dar.
 
Pengo ni Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Dar es Salaam. Yeye yupo sawa na maaskofu wengine wa majimbo mengine. Hakuna askofu wa jimbo anayeripoti kwa Pengo. Cheo cha ukardinali siyo daraja. Kuna daraja la upadri, uaskofu. Lakini mmisionori na kardinar siyo daraja. Kardinary ni mshauri wa papa. Sheria za kanisa zinaruhusu hata mlei kuwa kardinari. Nchi kama Brazili na nchi nyingine za latin America zina makardinali ambao ni mapadri.

Privilege ya kardinar ni nafasi ya kuchagua au kuchaguliwa kuwa papa. Ikitokea markadinari wakachagua kardinar ambaye ni padri, basi inaendeshwa kwanza ibada ya kumsimika awe askofu. Hii ni kwasababu papa ni askofu mkuu wa jimbo la Roma.

Kardinar Pengo anajua kwamba yeye siyo mkuu wa kanisa katoliki Tanzania lakini kwa kupenda makuu yeye unyamaza kimya na kuacha upotoshwaji huu uendelee. Kila askofu mkuu ndo top katika jimbo lake. Kilaini ni askofu msaidizi jimbo la Bukoba, hivyo anaripoti kwa askofu mkuu jimbo la Bukoba. Hawezi kuitwa Dar es Salaam.

pia huweza kujieleza mbele ya baraza la maaskofu kama chombo cha juu kabisa katika kanisa.
 
Wakimfukuza agonbee udiwani huko kagera kupitia ccm kwa kuwa wamempa mtaji atafisadi na kushinda
 
Katika hilo yupo sahihi. Ndani ya Tanzania hakuna makao makuu ya Kanisa Katoliki. Utawala wa Kanisa Katoliki haufuati muundo wa kiutawaka wa nchi. Kanisa lina majimbo na majimbo Makuu, na haya majimbo Makuu yana hadhi sawa, na yote yapo chini ya Vatican.

Kanisa pia lina ofisi ya kadinali ambaye ni Raia wa Vatican na mjumbe wa Papa na pia lina Balozi wa Papa. Wengi wanadhani kwa vile Pengo ni kadinali basi ndiye mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, jambo ambalo si kweli ingawa anaweza kufanya jambo maalum kwa kuagizwa na Papa.

Ccm bwana kwahiyo ous unataka kutuamimisha kuwa Tanzania Haina makao makuu ya kanisa
 
Mkuu hata mimi mwanzoni nilidhani unamaanisha Vatican. Makao makuu ya Kanisa Katoliki yapo Vatican tu na sio mahali pengine popote! Wala hakuna kitu kinachoitwa Makao (sembuse Makuu) ya Kanisa Katoliki Tanzania; hakuna.

Kikanisa, nchi imegawanyika katika majimbo ambayo yanaongozwa na maaskofu ambao kila mmoja anaripoti kwa Papa moja kwa moja. Unapoitazama Tanzania kwa jicho la Papa (Vatican) kinachoonekana ni Majimbo na maaskofu wake.

Asante kwa kutoa darsa zuri kwani baadhi ya watu hawaelewi mfumo wa uongozi wa Kanisa tajwa.
 
Askofu zero kabisa huyo! Mkabila, dharau nyingi, domo limepinda, sura mbaya...yamemtokea puani sasa!
 
Mkuu Ndakilawe, hivi kuna haja sana kusahihisha kazi ya Mwenyezi Mungu? Ebu weka picha yako hapa JF tuone kama iko sawa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom