Mkuu,nimesikia kwamba Askofu Kakobe atatuwakilishwa Wabongo kwa bendera ya Tanzania na Kiswahili katika mikutano yake ya nje;kwa kuanzia Toronto,Canada kwenye uwanja wa kimataifa wa Tennis !.Kwa habari zaidi,tembelea:www.bishopzacharykakobe.org/en/events/upcoming-events
Kwa wakuu,wanaopenda kutembelea tovuti ya mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za kuabudu;Don moen:Don Moen and FriendsKwa kundi la waimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili la Krystaal ni :www.krystaal.com
View attachment 85508 Matangazo ya ziara ya askofu Kakobe katika jiji la Toronto;yanaendelea kusambazwa duniani.Wengi wameahidi kuhudhuria katika mkutano huo kwa mujibu wa tovuti !
Wakuu,habari nilizopata kwa ndugu yangu,kuhusu maandalizi ya mkutano wa askofu Kakobe nchini Canada;zinasema kuwa ni maandalizi ambayo hayajawahi kufanyika katika jiji la Toronto,kwa habari mikutano wa injili !!! Watu wa Canada wanaamini mkutano wa Kakobe utakuwa wa kihistoria,na kuvunja rekodi !!! Ni matarajio yangu,tuzidi kupeana michapo kuhusu ziara za Kakobe kama mtanzania mwenzetu,aliyetangaza kupeperusha bendera ya Tanzania na kiswahili ulimwenguni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.