Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

Discussion in 'Jamii Photos' started by BAOBAO, Mar 3, 2013.

 1. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  DON & BZKIM.php.jpg 2_toronto_crusade KAKOBE.jpg CANANA B.jpg donmoen.jpg krystaal band canada.jpg
   
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2013
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,998
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Safi sana. Bora Kakobe atuwakilishe Watanzania kwenye majukwaa ya kimataifa, manake Rage na Simba yake wameshindwa kabisa
   
 3. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu,nimesikia kwamba Askofu Kakobe atatuwakilishwa Wabongo kwa bendera ya Tanzania na Kiswahili katika mikutano yake ya nje;kwa kuanzia Toronto,Canada kwenye uwanja wa kimataifa wa Tennis !.Kwa habari zaidi,tembelea:www.bishopzacharykakobe.org/en/events/upcoming-events
   
 4. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Trully he is the man of God
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2013
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaa, sanaa inalipa!
   
 6. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kwa wakuu,wanaopenda kutembelea tovuti ya mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za kuabudu;Don moen:Don Moen and Friends Kwa kundi la waimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili la Krystaal ni : www.krystaal.com
   
 7. m

  meshackabra Member

  #7
  Mar 3, 2013
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  iko poa askof we2 inapendeza kuwakilisha.................japo itakuwa ngumu askofu we2 wa tz kuchaguliwa kuwa papa wa vatikan
   
 8. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  :canada:
   
 9. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kila la kheri
   
 10. A

  Alumbwagweumutwa Member

  #10
  Mar 3, 2013
  Joined: Jan 7, 2013
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unadhani LIBOLO mchezo!!
   
 11. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 12. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  View attachment 85508 Matangazo ya ziara ya askofu Kakobe katika jiji la Toronto;yanaendelea kusambazwa duniani.Wengi wameahidi kuhudhuria katika mkutano huo kwa mujibu wa tovuti !
   
 13. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2013
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,567
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ...... Kweli, kwasababu ameenda kuhubiri KANADA!
   
 14. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,503
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
 15. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2013
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,969
  Likes Received: 2,713
  Trophy Points: 280
  Hubiri Injiri ienee Duniani kote.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,356
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Sasa sie wa mwenge mbona ametutelekeza tena?
   
 17. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2013
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  King'astito.....kwani hakuwaambia "sitawaacha yatima"? poleni zenu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. nash2010

  nash2010 JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2013
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
 19. g

  great vision Senior Member

  #19
  Mar 5, 2013
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Huu ni wakati uliokubalika kwa Bishop zachary Kakobe kuhubiri kimataifa.safi sanaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 20. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wakuu,habari nilizopata kwa ndugu yangu,kuhusu maandalizi ya mkutano wa askofu Kakobe nchini Canada;zinasema kuwa ni maandalizi ambayo hayajawahi kufanyika katika jiji la Toronto,kwa habari mikutano wa injili !!! Watu wa Canada wanaamini mkutano wa Kakobe utakuwa wa kihistoria,na kuvunja rekodi !!! Ni matarajio yangu,tuzidi kupeana michapo kuhusu ziara za Kakobe kama mtanzania mwenzetu,aliyetangaza kupeperusha bendera ya Tanzania na kiswahili ulimwenguni.
   
Loading...