Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

iko poa askof we2 inapendeza kuwakilisha.................japo itakuwa ngumu askofu we2 wa tz kuchaguliwa kuwa papa wa vatikan
Uchaguzi wa Papa sio kama wa kisiasa, kwamba leo katoka kanda ya Kaskazini basi ajae atoke Kusini. Papa anachaguliwa kwa muongozo wa maombi
 
Uchaguzi wa Papa sio kama wa kisiasa, kwamba leo katoka kanda ya Kaskazini basi ajae atoke Kusini. Papa anachaguliwa kwa muongozo wa maombi

Wakuu,tukumbuke kila taasisi ya dini kama kikundi au kanisa lina kanuni,taratibu,na sheria zake kuchagua viongozi kwa mujibu wa katiba zao;ambazo tunapaswa kuziheshimu kulingana na uzi huu.Nawakilisha;asanteni !
 
Hata mti wa mbuyu au haradali ulianza kama mchicha ! Pia,Bwana Yesu Kristo alisema mbegu ya haradali huwa mti kubwa na kufanya matawi ndege kukaa chini ya kivuli chake
[MARK 4:31~32] Kumbuka,"Neno jema laweza kutoka Nazareti"
 
Hizi tuzo za oscar au?

Mkuu,naomba tembelea kurasa facebook wa kiongozi wa timu ya Krystaal; www.facebook.com/flwamba au tembelea tovuti yao,kwa maelezo ya ziada na hakika: htt://www.krystaal.com
 
Nashukuru kwa taarifa ya Kakobe katika jiji la Toronto;lakini tukumbuke pia,kipindi hicho hicho kutakuwa maandamo na sherehe kubwa zinazoitwa eti fahari za wasagaji na mashoga kwa maelfu yao nchini Canada !!! Bila shaka, ni vita kati ya Waliobarikiwa na Waliolaaniwa !
 
picha mpya toronto.jpg Mhubiri kutoka nchi maskini kwenda kuhubiri nchi tajiri ni kama vita ya Daudi na Goliati !!!
 
Sasa sie wa mwenge mbona ametutelekeza tena?

Hapo umejikwaa...hapo kwenye blue.
Yaani wewe inaonyesha kabisa kuwa hauko kati ya waumini wa Mwenge.
Hajatutelekeza kama unavyodhani, yupo Mwenge kila siku..kila siku, yaani kila siku.
Hivyo hakuna 'kutelekezwa' wala nini, kama inavyodhaniwa na watu wasiohudhuria ibada Mwenge.
 
Daima MungU MBELE....MUNGU YU NAWE KAKOBE,USIIACHE KWELI YA MUNGU PASIPOKUANGALIA MTU AWAYE YEYOTE.
 
Martha Munnizi,mwimbaji wa kimataifa pichani,ameongezeka timu ya Askofu Kakobe.Chazo:BZKIM Facebook. martha munnizi.jpg
 
Hongera Kamanda wa YESU, huu ni wakati wa kuigeuza dunia imjue Yesu na MUNGU wa Kweli.
 
Bishop Zakary Kakobe amejaa tele mwenge subiri utaona maandamano ya kumsindikiza kwenda kazini huko Toronto Canada hivi karibuni, Unakaribishwa.

asante sana! Looh! nakaribishwa wapi mwenge au toronto? King'asti una pasipoti??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom