Jamani timu ya dr slaa mko wapi mjibuni Gwajima ili tufahamu mzigo na watu wanne south africa, ni muhimu sana kuufahamu huu mzigo jamani, njooni, jitokezeni mumjibu, kwa nn mpo kimya hivyoooooooo. Mnaogopaaaaaaaaaaaa:bange:

Baba njoo utuambie mmiliki wa mzigo ni naniMshenga hebu rudi utwambie ni mzigo gani..
Je, ni wa maharage?
Au ni wa Limao???
Mshenga alimaliza kila kitu, vuruga dr. mihogo, vuruga waliomtuma, vuruga teamslaa yoote, vuruga vimaandamano vya kutengeneza, dr. mihogo kwishneiiiiiiii......!
Slaa kafia wapi sijui,na ile taadhari kuwa jamaa anazo data za mzigo aliovuta Afrika kusini,ndo mzee kanywea jumla
Tunapendekeza Gwanjima achukue nafasi ya marehemu mtoi kugombea Lushoto.Huyu atawafaa sana
Ukiona umeongea kitu halafu wahusika wakakutizama tu, consider yourself stupid. And that is what Gwajima is.
"POWER HUNGRY, CORRUPT, UNETHICAL STUPID MESSENGER OF THE FALLEN"
Sioni sababu ya Mtu mwenye akili kujibizana nae.
"DK AENDELEE KUMPUUZA SABABU SIKU ZAKE NA WENZAKE KUPOTOSHA WACHACHE WASIOFIKIRI IPASAVYO ZINAHESABIKA"
<B>40</B>
Hivi huu moto umeshaunguza nyumba au vipi?
amemzima kama mshumaa
Slaa yuko Amerika nasikia
Slaa kafia wapi sijui,na ile taadhari kuwa jamaa anazo data za mzigo aliovuta Afrika kusini,ndo mzee kanywea jumla
Slaa keshapigwa za shingo