Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,885
- 1,865
Katika hotuba yake kwa waandishi wa habari leo landmark hotel ubungo askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na Uzima Josephat gwajima amemtaka dr slaa ajitokeze hadharani kumjibu ili aanike hadharani namna alivyokutana na maafisa usalama wanne afrika kusini mzigo aliopokea na mahali alikouficha. Na pia akihojiwa na tido mhando jioni ya leo alisema anaenda marekani yeye na familia yake na kwamba marafiki zake ndiyo wanagharamia safari yake huku akisema bila kuwataja .kama hukupokea mzigo jitokeze umshambulie tena mshenga itakuwa vizuri zaidi.