Werema wakti anaongea kwenye press conference alikuwa bungeni? Mbona unataka kuwafanya watu hawajui mipaka ya kinga ya wabunge? Any way, na yule shehe Ilunga na you tube (waueni) naye alikuwa na kinga ya wachawi?
Pinda wakati anatoa amri haram ya polisi wapige raia wakiandamana, hakuwa akifanya jinai? Kwa nini hawakumfungulia jalada la uchunguzi? Haakuona jinai pale?
Igondu alipomfanya Dr. Ulimboka, wallimfungulia jalada lipi? Au yeye alifanya jinai hiyo ya kigaidi akiwa na kinga gani?
Sitetei uharifu wowote ikiwemo hii tabia ya double standards ambayo imekuwa sugu katika vyombo vya umma.

Mbona unatokwa na Povu?Kasome kwanza Sheria za Bunge zinasemaje ndo ujarbu kulinganisha Swala la Kafulila na Werema na hilo la Gwajima na Pengo!!!