Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,166
- 29,867
Babu nkikumbuka lile debe kipindi cha kampeni, ulimpigia sana kampeni sheikh Rashidi.a iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadili kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Kweli kabisa, nilipiga ndondogo hadi basi.Babu nkikumbuka lile debe kipindi cha kampeni,ulimpigia sana kampeni sheikh Rashidi.
Wanasisa sio.
Hakutoa udhuru?Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Haukuwekwa wazi!Hakutoa udhuru?
Hakutoa udhuru?
Kwani mlimchagua? Hukuona kura zilizopigwa kwenye Sandarusi?Haukuwekwa wazi!
Lakini kikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Haikuwapendeza waliohudhuria.
Kosa kubwa sana hiloTaarifa za udhuru hazikuwepo.
[emoji12][emoji12][emoji12].Nileteeni Gwajimaa,Nileteeni Gwajimaa, huyo ameshetwa.