Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

Maisha ni connection ,asante Bishop gwajima kwa kuja kawe Tunategemea mengi kutoka kwako
 
Sera zake zinaonesha hana Njaa na anweza kufanya vitu vingi peke yake bill kusubiri government watu wa Kawe tuna raha sana
 
Askofu Gwajima Alipata certificate of recognition from the mayor of The city of Birmingham Milka Kayla hajagombea , sana hapo kinachoshangaza ni nini?
Certificate of Recognition ya kukata mauno akiwala kondoo wake labda! Huko nje inajulikana kama Certificate ya porno. Kweli hii ndiyo sifa ya kumpa ubunge Kawe, astaghfirrullah!
 
Alichokielezea Gwajima ni kitu cha maana sana na nafikiri kinatekelezeka, na kama ulimsikiliza vizuri Gwajima anayoyaelezea ni mambo ambayo nchi zazilizoendelea yanafahamika, suala la kuwepo kwa ushirikiano baina ya miji na miji au majimbo na majimbo ni jambo la kawaida na muhimu katika ulimwengu wa leo. Nafikiri Gwajima ana nafasi zaidi ya kushinda kwa sababu tofauti yake na mdee ni kuwa Gwajima anaelezea nini anachotaka kufanya wakati mdee anajaribu kutuaminisha kuwa anahitaji muda zaidi kutekeleza yale aliyoshindwa kwa miaka 10. Kama mwananchi wa kawaida na mwenye mapenzi mema na jimbo langu la Kawe ni wakati wa kumuamini Gwajima kwa miaka 5 halafu ndio tuanze kumuhoji maswali ambayo kwa sasa anayastahili Halima Mdee , kuwa ameifanyia nini Kawe kwa miaka 10 na ni kipi alichoanza na hajakimaliza mpaka ahitaji miaka mingine 5 ya ziada? Ukweli lazima usemwe ni wakati wa kuacha kupelekwa kishabiki.
 
Certificate of Recognition ya kukata mauno akiwala kondoo wake labda! Huko nje inajulikana kama Certificate ya porno. Kweli hii ndiyo sifa ya kumpa ubunge Kawe, astaghfirrullah!
Eh3OnDtXkAAHNTd.jpeg
 
Gwajima anafanya mambo kwa kutumia akili saaana
ukuja kusema ni kiongozi tapeli unaenda sehem ambao siyo maana kiongozi mzuri ni yule anayejua kuwaongoza watu vizur na wananchi wake wanamfurahia ka huduma anazozitoa

ukienda kuangalia mambo mengine gwajima aliyoyafanya kwa wananchi wa kawe mpaka wanamkubali
Sawa mkuu....
Huyo Askofu tapeli Gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Mgombea mwingine mwongo kuliko Ni Ummy Mwalimu."Ndani ya Miaka mitano Tanga itakuwa Kama Singapore" huu Ni uongo kiwango Cha Lami
Daaa... Haya maccm yanaona watz bado malofa sn
Shein alisemaga ataifanya Zanzibar kua km Dubai na majuzi tapeli mwingine magufuli kasema ataifanya Tanzania kua km ulaya. Gwajima the porn master anawabia wanakawe atawapeleka marekani
 
Utapigwa chini wewe kawe lazima twende na Gwajima
Huyo Askofu tapeli Gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Angeahidi mtu ambaye hajawahi kwenda USA au kufika Japan ingeonekana ni mambo ya kufikirika. Gwajima amekuwa Marekani na ana marafiki Marekani, amekuwa Japan na ana marafiki huko.

Tatizo hapa ni kwa sababu nyie hamkuwahi kufika huko ndo maana mnaona haiwezekani.
Sawa, ameshapewa ubunge na Magufuli, tunakumbusha ahadi ni deni.
 
Daaa... Haya maccm yanaona watz bado malofa sn
Shein alisemaga ataifanya Zanzibar kua km Dubai na majuzi tapeli mwingine magufuli kasema ataifanya Tanzania kua km ulaya. Gwajima the porn master anawabia wanakawe atawapeleka marekani
Bado tunaandaa viza zao,tutawapeleka marekani kiroho sio kimwili
 
Sawa, ameshapewa ubunge na Magufuli, tunakumbusha ahadi ni deni.
Anasubiri "mgogoro" wa nani kachaguliwa kua Rais wa Marekani umalizike ndio atekeleze ahadi yake, maana kama mnavyojua tena Biden anaonekana kashinda huku Trump akidai mshindi ni yeye. Sasa hapo wananchi wa Kawe nani atawapokea pale US?😂😂😂
 
Wakaazi wa Kawe natumaini tayari passport zipo tayari tayari kwa safari za USA 🇺🇸.
 
Back
Top Bottom