#COVID19 Askofu Gwajima kuwasha moto juu ya Chanjo ya Corona - Agosti 1, 2021

Kesho askofu wa kanisa la ufufuo na uzima atawasha moto juu ya chanjo ya corona ambayo tayari imezinduliwa tarehe 29.07.2021 na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimia SAMIA SULUHU HASSAN , watu mbalimbali ambao ni wakaribu na askofu kwa tetesi zilizopo amesema hawezi kubadili msimamo wake wa chanjo ya corona kwa kuwa yeye ni kiongozi wa kiroho na anayoyasema hutoka kwa mungu ; kwa kauli hizi nadhani ni wakati sasa serikali kujitafakari upya kutomjibu kiongozi wa kiroho ambaye huongwa kiimani tabia za vijana wa ccm kumshambulia kiongozi huyo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho kwa ujumla ! Dini na siasa ni kama mafta na maji mwacheni kiongozi huo awalishe kondoo wake kama alivyoelekezwa na mungu.View attachment 1875481
Alishindwa kumfufua Mwendazake huyu tapeli.
 
Nawaona wasiojulikana wakihangaika kutafuta mbinu kumminya
 
Itakuwa raha sana kesho kama atamlipua tena wa KUDEMKA.
Kesho Anaipasua Ccm Maana Iko Pande Mbili Kama Hapa
IMG-20210730-WA0008.jpg
 
Kesho pale kijiweni kwake ataichambua vizuri amfifiro inavyofanya kazi kwenye corona virus....
 
Back
Top Bottom