#COVID19 Askofu Gwajima kuwasha moto juu ya Chanjo ya Corona - Agosti 1, 2021

huyu jamaa huwa akiamua haya kamuulizeni Ex RC wa mkoa fulani alivyofutwa kwenye ulimwengu wa siasa.
Kipindi kile hajaingiwa na tamaa, kipindi hicho alikuwa hata urais hautaki. Lakini sasa ameenda kuiba ubunge kawe na hajatubu. Kabla ya hapo kuna ile clip ambayo nayo hakuikiri,, ana makando mengi sasa.

Isitoshe ataendeleza mambo yake ya kuhisi bila kutoa fact hata moja.

(Unijibu baada ya hiyo ibada yake)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kesho askofu wa kanisa la ufufuo na uzima atawasha moto juu ya chanjo ya corona ambayo tayari imezinduliwa tarehe 29.07.2021 na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimia SAMIA SULUHU HASSAN , watu mbalimbali ambao ni wakaribu na askofu kwa tetesi zilizopo amesema hawezi kubadili msimamo wake wa chanjo ya corona kwa kuwa yeye ni kiongozi wa kiroho na anayoyasema hutoka kwa mungu ; kwa kauli hizi nadhani ni wakati sasa serikali kujitafakari upya kutomjibu kiongozi wa kiroho ambaye huongwa kiimani tabia za vijana wa ccm kumshambulia kiongozi huyo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho kwa ujumla ! Dini na siasa ni kama mafta na maji mwacheni kiongozi huo awalishe kondoo wake kama alivyoelekezwa na mungu.View attachment 1875481
Makusanyo ya sadaka yanaenda kuongezeka
 
Naona kundi la SG limeamua kumuacha wa KUDEMKA adhalilishwe na Gwajiboy. Na Gwajiboy hiki kimya kufuatia dharau zake hadharani kausoma mchezo na si ajabu ndani ya SG wamempa go ahead ya kufanya mashambulizi makali.

Ni wapi Gwajima kamdharirisha Mtu. Kusimamia msimamo wako na kukosoana ni kudhalilisha Mtu?
 
Mimi pia siiamini hii chanjo hasa kwa kutoelewa misimamo ya serikali.

Lakini hoja za huyu mwamba sijui 666 na kuja kua mazombi 😂😂, hizi nazo zina utata anakua kama anaongea na watoto bna. Inawezekana kweli chanjo si salama basi atafute taarifa za kueleweka sio za kuunga unga za 666 ambazo kila janga likija hizo imani inahusishwa nalo.
Hao mazombi alishwahi kuwaona wapi hapa duniani au nae analeta story za sinema.
 
Mimi nimeshawahi hapa Ubungo. Leo Askofu Rashid anaismamisha nchi.
IMG_20201103_153332.jpg
 
Kipindi kile hajaingiwa na tamaa, kipindi hicho alikuwa hata urais hautaki. Lakini sasa ameenda kuiba ubunge kawe na hajatubu. Kabla ya hapo kuna ile clip ambayo nayo hakuikiri,, ana makando mengi sasa.

Isitoshe ataendeleza mambo yake ya kuhisi bila kutoa fact hata moja.

(Unijibu baada ya hiyo ibada yake)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
jaribu kugusa ile madhabahu kama hujarudi na bukuta mkononi😂😂😂😂😂😂
 
Huyu bwana pamoja na mambo mengine arekebishe sehemu ya kuabudia
 
Kesho askofu wa kanisa la ufufuo na uzima atawasha moto juu ya chanjo ya corona ambayo tayari imezinduliwa tarehe 29.07.2021 na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimia SAMIA SULUHU HASSAN , watu mbalimbali ambao ni wakaribu na askofu kwa tetesi zilizopo amesema hawezi kubadili msimamo wake wa chanjo ya corona kwa kuwa yeye ni kiongozi wa kiroho na anayoyasema hutoka kwa mungu ; kwa kauli hizi nadhani ni wakati sasa serikali kujitafakari upya kutomjibu kiongozi wa kiroho ambaye huongwa kiimani tabia za vijana wa ccm kumshambulia kiongozi huyo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho kwa ujumla ! Dini na siasa ni kama mafta na maji mwacheni kiongozi huo awalishe kondoo wake kama alivyoelekezwa na mungu.
 
Kesho askofu wa kanisa la ufufuo na uzima atawasha moto juu ya chanjo ya corona ambayo tayari imezinduliwa tarehe 29.07.2021 na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimia SAMIA SULUHU HASSAN , watu mbalimbali ambao ni wakaribu na askofu kwa tetesi zilizopo amesema hawezi kubadili msimamo wake wa chanjo ya corona kwa kuwa yeye ni kiongozi wa kiroho na anayoyasema hutoka kwa mungu ; kwa kauli hizi nadhani ni wakati sasa serikali kujitafakari upya kutomjibu kiongozi wa kiroho ambaye huongwa kiimani tabia za vijana wa ccm kumshambulia kiongozi huyo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho kwa ujumla ! Dini na siasa ni kama mafta na maji mwacheni kiongozi huo awalishe kondoo wake kama alivyoelekezwa na mungu.View attachment 1875481
Huyu jamaa should be hanged, yeye na Polepole wanafanganya wananchi. Expelled from CCM and be hanged kwa Mkapa. These two are morons!!
 
Kijani ndo watajua hawajui kila mtu kumpa fursa bila kupima ubongo wake ,Sasa gwaji boy acha akinukishe mpaka waseme pooo.
 
Back
Top Bottom