Kama kuna posho nikusaidie kuandikausiweweseke kama huwezi kuandika uzi ndugu mdau
Kwa hali ilivyo mimi na wewe pia tunahitaji huo msaada wa kisaikolojia sio Gwajima tu.Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.![]()
Mdude Chadema ameacha mtoto mdogo kabisa na mjaneKila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.![]()
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.
Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.
Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi.![]()
kati ya mtu anayefunga makanisa yenye watu zaidi ya 3m nchini, na anayekemea uuaji na utekaji, nani mdini. ushetani umewajaa mioyoni hadi hamna aibu, mnatetea uovu wazi wazi kwa sababu hayajawakuta, ila jueni yupo hakimu wa kweli, huyo hutoa haki siku zote.Askofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishi
Si ndio SGR auHahaha haaaaaa! Treni ya mwendokasi tena!