Askofu Fredrick Onael Shoo ashinda kuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT

Mulifurahi na kupiga vigelegele trump aliposhinda uchaguzi mkiamini chadema itakuwa kama......
Mkafurah na kupiga vigelegele kenyatta aliposhinda uchaguzi mkiamini mtakuwa kama.....
Leo mmeamia kwa shoo, hebu jipeni space maana mwisho wa siku huwa mnabaki yatima
Hebu nyamaza bwana, "sisi" ndani ya ccm tunamajonzi makubwa ya ndege yetu ile yenye maneno HAPA KAZI TUU imekamatwa Afrika kusini eti sababu ya madeni? Hawajui sisi ni matajiri tena dona kantili!
Wasilete mambo ya Bombardier kule kanada ebo!
 
vile praise team aka mazombi walivyojipa kazi ya kufatilia uchaguzi wa kumchagua kiongozi mkuu wa kanisa la KKKT nchini tanzania halafu matokeo yamekuja kinyume na walivyotaka iwe.
IMG_20190823_131151.jpeg
 
Namkubali sana huyu Askofu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

View attachment 1188638

Taarifa za uhakika ni kwamba Dr Shoo ametangazwa mshindi usiku huu dhidi ya wagombea wengine na ataongoza kanisa hilo kwa kipindi cha miaka minne .

Alikuwa akichuana na Maaskofu wenzake akiwemo Dr Steven Munga , Dr Abednego Keshomshahara , Blaston Gavile na Dr Alex Malasusa ( ambaye amewahi kuongoza KKKT katika cheo hicho kwa miaka 8 )

Taarifa zaidi zitaendelea kumiminwa hapa hapa
 
Hajafikisha Theluthi 2 ya Kura zote huo Ushindi ni Batili!
 
View attachment 1188638

Taarifa za uhakika ni kwamba Dr Shoo ametangazwa mshindi usiku huu dhidi ya wagombea wengine na ataongoza kanisa hilo kwa kipindi cha miaka minne .

Alikuwa akichuana na Maaskofu wenzake akiwemo Dr Steven Munga , Dr Abednego Keshomshahara , Blaston Gavile na Dr Alex Malasusa ( ambaye amewahi kuongoza KKKT katika cheo hicho kwa miaka 8 )

Taarifa zaidi zitaendelea kumiminwa hapa hapa
Habari njema sana kwa makamanda wa ufipa
 
Back
Top Bottom