Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

Yesu alituasa kwamba YAACHENI MAGUGU YAKUE NA NGANO.....

Huyo mzee amejipambanua wazi kuwa anamtumikia mungu wa fujo
 
Ingependeza kama Chadema wangempa jimbo akagombea ubunge huyu kada wao.
 
Ingependeza kama Chadema wangempa jimbo akagombea ubunge huyu kada wao.
2015 walisema ilikuwa zamu ya mtu wao, labda ni mwendelezo wa hasira za mtu wao kukataliwa na wananchi mwaka ule.
 
Mani...na!!mumeshikwa pabaya munakata roho,sasa munahaha.
Shen...zi type. Nyinyi Magu kutwa alivyokuwa na ma askofu wa Makanisa kama yule Malekana wa Sabato hamukulijua hili uliloandika?
KUFENI TARATIBU BWANAEEEEE!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hangaika na askofu wako anayetaka eti kuingeuza KAWE kuwa moja ya kanisa lake jipya!! La kufufua misukule awamu ya pili.
 
Ni juzi tu pale Bukoba mgombea urais CCM aliwakusanya viongozi wa dining hapo Gymkhana akiwemo Askofu wa Diosisi ya Bukoba, Aberenego Keshomshahara na alitoa salam za kiroho.

Inakuwaje nongwa kwa mgombea mwingine?

Pole sana.
 
Unamfahamu Askofu Gwajima? Ulikua unamfahamu Askofu wa Mlima wa moto Marehemu Getrude Rwakate(rip) ss usiwe unapost bila kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…