Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Na wale manabii na mitume wanaoshinda Lumumba kusubiri maelekezo! Wametelekeza makanisa yao wengine wamepewa ugombea kupitia CCM.
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Basi unatutafuta maneno KKKT...haya Sasa umeshajua fanya basi uwezalo kufanya

Na halaf Kati ya Bagonza na Gwajima, Pengo na Kakobe wepi wanajihusisha na siasa za moja kwa moja?
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Askofu Gwajima anahudumu kanisa gani kwanini anajihusisha na siasa za moja kwa moja?
 
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Mimi nimemsikia kwa masikio yangu mawili na kumuona kwa macho yangu mawili askofu RC wa huko Kagera akimuombea JPM ashinde uchaguzi.
Clip inagoma tu kupanda hapa.
 
Jichanganyeni tu kwenye hili nawaambieni hamtakua salama. Naskia mara o uamsho mara bagonza mwisho utakuja kuwa mbaya sana. Kuhusu maalim kuna ajenda ya siri ipo nyuma yake nayo ni kupata nchi ya kiislam.

Hili lipo wazi hasa kwa vijana walosoma shule za kiislam zilizojumlisha wanafunzi wengine kutoka zanzibar. Wamejipanga kuanzia 2000 na leo kwa haraka naona wapo tayari.

Sasa basi nahitimisha kwa kushauri tuwe makini sana kipindi hiki kwani amani ikitoweka umaskini utakua wa kutupa kama leo unafanya kazi unalia hali mbaya vipi ukikosa hiyo kazi.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Kuna padre mmoja kaandika hivi "kiongozi wa dini ukionekana umepiga picha au unaambatana na viongozi wa ccm kipindi hiki wewe ni mzalendo, lakini ukionekana umepiga picha na au unaongozana na viongozi wa vyama vya upinzani basi wewe unachanganya dini na siasa" mwisho wa kunukuu
 
Naomba kufahamishwa maana nashindwa kumuelewa, Hivi Baba askofu Bagonza ni kiongozi wa kisiasa au ni kiongozi wa kidini?!

Hakuna dhambi kwa yeye kuwa mwanasiasa ila kuna hatari kubwa sana kwa yeye kutaka mambo yote siasa na kiongozi wa dini, maana sisi waumini wake tutagawanyika endapo tu ataingiza siasa ktk dini.

sijajua bado kama yeye ni mwanasiasa au kiongozi wa kiroho.
 
Una ufinyu wa akili ndiyo sababu humuelewi. South Africa kuna Askofu Tutu huyu alijizolea umaarufu mkubwa sana kama Kiongozi wa dini ambaye alisimama kidete kupinga dhuluma na udhalimu wa makaburu.

Nani aliyekudanganya ili kupinga maovu ya kutisha Tanzania ni lazims uwe mwanasiasa? 😳😳😳 Tia akili kichwani. Hata Pope Francis anapinga maovu sehemu nyingi sana duniani.

Naomba kufahamishwa maana nashindwa kumuelewa, Hivi Baba askofu Bagonza ni kiongozi wa kisiasa au ni kiongozi wa kidini?!
Hakuna dhambi kwa yeye kuwa mwanasiasa ila kuna hatari kubwa sana kwa yeye kutaka mambo yote siasa na kiongozi wa dini, maana sisi waumini wake tutagawanyika endapo tu ataingiza siasa ktk dini.
sijajua bado kama yeye ni mwanasiasa au kiongozi wa kiroho.
 
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Kama vipi mpigeni risasi tu, mbona kwa Tundu Lissu mliweza?
 
Back
Top Bottom