Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Yesu alituasa kwamba YAACHENI MAGUGU YAKUE NA NGANO.....

Huyo mzee amejipambanua wazi kuwa anamtumikia mungu wa fujo
 
Ingependeza kama Chadema wangempa jimbo akagombea ubunge huyu kada wao.
 
Mani...na!!mumeshikwa pabaya munakata roho,sasa munahaha.
Shen...zi type. Nyinyi Magu kutwa alivyokuwa na ma askofu wa Makanisa kama yule Malekana wa Sabato hamukulijua hili uliloandika?
KUFENI TARATIBU BWANAEEEEE!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hangaika na askofu wako anayetaka eti kuingeuza KAWE kuwa moja ya kanisa lake jipya!! La kufufua misukule awamu ya pili.
 
Ni juzi tu pale Bukoba mgombea urais CCM aliwakusanya viongozi wa dining hapo Gymkhana akiwemo Askofu wa Diosisi ya Bukoba, Aberenego Keshomshahara na alitoa salam za kiroho.

Inakuwaje nongwa kwa mgombea mwingine?

Pole sana.
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Unamfahamu Askofu Gwajima? Ulikua unamfahamu Askofu wa Mlima wa moto Marehemu Getrude Rwakate(rip) ss usiwe unapost bila kufikiri
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom