Tatizo mnamwona Akofu kama mwansesere wenu wa kisiasa.Huyu hapana!! Sitamsikiliza kwa uaminifu. Waumini wakipigwa kwake si shida? Wananchi wakitekwa kwake si hoja? Kwakuwa limegusa kanisa sasa ndipo ameona aseme?
Si vizuri kiongozi ukatupa shida kukuamini na kukuheshimu
Kuokota makopo haitoshi.Waliokifanya kitendo kila wana laana.
Si muda mrefu mtu ataanza kuokota makopo.
Isifike huko.WAKRISTO TUMEUMIA SANA NA TUTAONYESHA HASIRA ZETU KWENYE BOX LA KURA
Ulimuajiri wapi?Mmh! Unamuamini mfanyakazi?
HahahUlimuajiri wapi?
Kwa muktadha huo, tukisema wewe umeajiriwa na zibilisi wa uongo, tutakuwa tumekosea?
View attachment 3324252
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Na mnaowaamini walifanya nini?Muongo huyo. Few months ago alikuwa anatetea ule upande. Kwani hakujua kuna akina Soka, Mzee Kibao wameshughulikiwa na Kikosi kazi...!!
Na mnaowaamini walifanya nini?
Matusi hayana chama ni tabia ya mtu.Ukiwa chama fulani, kufikiri kunakuwa na mipaka.
Hadi uone tusi, likufurahishe, ndio utaelewa.
Lile kabila unafiki uko kwenye damu na ndio maana maendeleo wanayasikia kwa jirani.Hafai kabisa ni mnafiki kama Lucas Mwashambwa na wote wanatoka Songwe
Wamekalia ushirikina tupuLile kabila unafiki uko kwenye damu na ndio maana maendeleo wanayasikia kwa jirani.
Haswa mkuu,halafu ni wasomi ndio cha kushangaza.Wamekalia ushirikina tupu
Pengine ulienda kwingine kusokorokwinyo, mnyaki hana unafiki hata siku moja. Anakupa za uso, tema au meza mwenyewe.Lile kabila unafiki uko kwenye damu na ndio maana maendeleo wanayasikia kwa jirani.
Mifumo ya nchi imeozaHaswa mkuu,halafu ni wasomi ndio cha kushangaza.
Malasusa ni mnafiq sanaView attachment 3324252
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Sorry, nawe nichawa wamama au?Tatizo mnamwona Akofu kama mwansesere wenu wa kisiasa.
Mtafuteni Askofu Gwajima au yule anayempenda Lema, Askofu Shoo ndiyo msikilizeni. Akisema muandamane fanyeni hivyo.
Ila wakialikwa ikulu fasta wanawahi kiti cha mbeleView attachment 3324252
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
HunaasView attachment 3324252