Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

Mmh!
Kamaanisha kweli? Maana dstv moja
 
Mkuu endelea
Member wa JF, anayeresort to threats, ujue hana akili sana.
Na chama anachokiwakilisha, CDM, kikipata madaraka, basi kitafanya si tofauti na tunachokiona sasa, mapadre kupigwa, watu kuswekwa ndani.
Halafu mtu asivyo na akili nzuri anategemea Maaskofu wawekwe mbele bada ya yeye mwenyewe.
Uoga per se.
 
Kuna watu viherehere sana.
Mimi nampongeza Askofu Malasusa kwa kuonyesha hisia zake kwa lililompata Padre Kitima.
Ukiwa Askofu ninlazima vile vile anakuwa mwanadiplomasia, na ujumbe unakuwa umefika kwa mlengwa.
Viherehere wanataka kubebwa mgongoni.
 
View attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.

Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
A big time snitch at work
 
View attachment 3324252

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.

Mnafiki huyo
 
Kuna watu viherehere sana.
Mimi nampongeza Askofu Malasusa kwa kuonyesha hisia zake kwa lililompata Padre Kitima.
Ukiwa Askofu ninlazima vile vile anakuwa mwanadiplomasia, na ujumbe unakuwa umefika kwa mlengwa.
Viherehere wanataka kubebwa mgongoni.
Mmh! Unamuamini mfanyakazi?
 
View attachment 3324252

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.

Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.

" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Huyu hapana!! Sitamsikiliza kwa uaminifu. Waumini wakipigwa kwake si shida? Wananchi wakitekwa kwake si hoja? Kwakuwa limegusa kanisa sasa ndipo ameona aseme?
Si vizuri kiongozi ukatupa shida kukuamini na kukuheshimu
 
Back
Top Bottom