Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

Msanii tu askofu huyo. Anajua kila kinachoendelea

Ikiwa polisi wanasema mjeruhiwa alikuwa mlevi anakunywa pombe wenzie wakampiga unategemea kuna nn hapo
 
View attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.

Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Malasusa anakemea huku akijua na serikali ya ccm imefanya hilo tukio.
 
Ndo ajue huu ni wakati wa Viongozi wa dini kusimama na Wananchi kudai reforms za msingi kwa mifumo ya Taifa letu ili Taifa liendelee kusimama kama Taifa lenye haki, amani na maendeleo ya kweli.
Na yeye aongezewe ulinzi wataanza kumfukuzia wamcharange mapanga shauri yake
 
Back
Top Bottom