Joseph mbelwa
Member
- Aug 6, 2014
- 8
- 2
Wamewonea tu bana............sasa wewe ukiwa unatoka kazini uko na kitu yako usijinafasi...kisa nini? kwani kuna kanuni ukiwa unatoka kazini na uniform usipige mzigo...uonevu tu....afteral kwa huo mzigo sio mchezo ati....
Trafiki wa mkoani kagera hawana ursafiki na raia kwa sababu hizo, raia wanadai kila akikusimamisha faini.
Mmmmmh! ila huyo bint mwenyewe ana hips mzuri jamani!!!
Mmmmmh! ila huyo bint mwenyewe ana hips mzuri jamani!!!
Kumbe tuna wengi ambao wangekuwa wahanga wa tukio hili!
Aseee!!!!1:A S wink::A S wink:
Kweli mapenzi ni kikohozi!Huyo Polisi wa kike mzuri, sijui mtoto wa kihaya huyo.
Huyu dada atachishwa kazi mara mbili ya kwanza amekosa ya pili ni kuachwa na mme wakeKazi kwelikweli halafu dada ni mke wa mtu hebu angalieni kidole cha Pete