Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

Ama kweli Afrika imekuwa kijiji sasa.


[h=2]Tanzanian Traffic Police Officers Pictured Kissing In Public Fired[/h]
tanzania%2Bpolice%2Bkissing%2Bpublic.jpg


3 Traffic police officers (a woman & two men) in Tanzania have lost their job when they were caught kissing in public.

According to Zambian Post, the officers were sacked on ground of misconduct on official duty.

Asumba Mwasumbi & Veronica Mdeme (pictured above) were sacked for kissing each other in the course of their official duty while the other officer, Fadhiri Linga was also fired for taking the picture with his phone and sharing it online.

The photos that went viral on the social media prompted their immediate dismissal from service.

The lady, Veronica Mmede is a married mother of two, what a shame!

Source: NaijaGists
 
The woman, is a MARRIED mother of two. Shame all the way to Nigeria. They might as well join Al shabaab ranks
 
Siyo Nigeria tu ni dunia nzima, mpaka kwa Obama. Hizi social media achana nazo kabisa
 
LIKUD

So What? Mbona Sisi Issue Yao Na Mabinti Wa Shibok Waliotekwa Nyara Ilitufikia Na Tunayo?
 
Last edited by a moderator:
Iingekuwa na matrafic wala rushwa iwanashugulikiwa hivyo duu ingekuwa poa
 
hawa jamaa waruhusiwe tu na familia zao kufanya matangazo ya biashara wajikwamue kiuchumi .Waanzie pale fiesta wapande na msanii yoyote awagaie mshiko wanogeshe show
 
Mm nimeona mjadala wake Kenya. Wengi wamelaani hatua dhidi yao. The same to me. Ivi mawakili humu ndani mnaweza kutufafanulia hili? Kama mtu anaua na anashinda kesi ivi Hawa hawawez kukata rufaa?
 
Mm nimeona mjadala wake Kenya. Wengi wamelaani hatua dhidi yao. The same to me. Ivi mawakili humu ndani mnaweza kutufafanulia hili? Kama mtu anaua na anashinda kesi ivi Hawa hawawez kukata rufaa?

Interesting....kwahiyo mawakili wanaweza kupindua hii kesi ?

CC EMT
 
Last edited by a moderator:
wanapindua mtu ameua au amehujumu uchumi washindwe watu waliopigana mabusu! alikuwa anamtoa kimshale cha nyuki aliyemng'ata
 
Hivi kwanini watu wanaonea huruma watovu wa nidhamu kazini?

Seriously ndo tunataka kukuza uchumi kwa style ya kuoneana huruma hivi? Tuna safari ndefu sana....
 
Back
Top Bottom