Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

Hii ndio nimeipenda....

Askari wasilazimishe makosa

Sijui kama inatekelezeka

Nimeiprinti tena kwa rangi na natembea nayo. Leo wamenikamata nikawaonyesha hii kitu wakaniamkia shikamoo mzee!!!!


attachment.php
 
Kamanda a Polisi Mkoani Kagera Henery Mwaibambe ameeleza waandishi wa habari muda mfupi uliopita kuwa, askari hao na mwenzao aliyewapiga picha wametambuliwa na tayari wamefukuzwa kazi.

Kwamba walikuwa wanafanya kazi katika Wilaya ya Misenyi.
==================



Chanzo:Harakatinews

hivi na yule aliyemlipua mwangosi alitimuliwa?
 
Huyo Polisi wa kike mzuri, sijui mtoto wa kihaya huyo.

Inaonekana huyo dada kama ana ring kidoleni, kwa mtazamo wetu wa kibongo unaweza kuamini kuwa huyo mtu kawa engaged au ana ndoa (African perception). Huyo jamaa anafunga macho kwa just for kissing, sasa kwenye zoezi lenyewe si atazimia!!
 
WAKOME ! Polisi yoyote akipatwa jangwa kwangu ni furaha maana wakitumwa tu na ccm hatahawachanganyi na akili zao wanakurupuka kama mang'ombe zizini kupiga raia kwenye maandamano ya amani.........sina huruma kwa polisi yoyote wa tz!
 
Hii ndio nimeipenda....

Askari wasilazimishe makosa

Sijui kama inatekelezeka
Hii sio Hati ya kufukuza...inaogelea mambo mengine kabisa ya askari wa kikosi cha barabarani kurudishwa ili kupangiwa kazi nyingine.
kwa makosa tofauti na hilo hapo.
 

Nimeiprinti tena kwa rangi na natembea nayo. Leo wamenikamata nikawaonyesha hii kitu wakaniamkia shikamoo mzee!!!!


attachment.php

Something is not right here, kwani hiyo gari ilikuwa imebeba mgonjwa anaetakiwa kukimbiza hospitali?
Au ilikuwaje upekuzi ukasababisha kifo?....doesn't make sense hapa mkuu.
 
Hao bado vijana. Kila mtu anakula ofisini kwake, walikuwa wanaburudika / burudishana baada ya stress za kazi. Yupo IGP kapiga mimba house girl wake, baadaye kamtelekeza,alichukuliwa hatua gani? Tena akakataa vipimo vya DNA. Pia kuna waziri aliibiwa nyaraka za serikali na changu/shushu wa kinyarwanda morogoro,ikaishia hewani. Yupo mkubwa aliyembaka na kumwambukiza ukimwi mwanafunzi wa sekondari,hakuna kinachoendelea. Hao maskari wamefanya kosa,sawa,lakini kuwafukiza ni kutesa familia zao,wapewe onyo. Familia zetu ni pana sana/extended family. Kipato cha kazi yako ni kwa jamii nzima.
 
kwa mara ya kwanza nilivyoona hii picha nikashituka sana, nikajua ndio maana huwa ajari haziishi barabarani.....
 
Wameonewa sana hasa ukizingatia picha ni ya 2012. Wangepewa onyo tu. Polisi mna mambo mabaya sana yanayowafanya msiaminiwe na wananchi.. Mfano rushwa, ujambazi, matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya raia. Mngeshuhulika na hayo tungewaona wa maana sana sio vitu vidogo kama hivi. Hii ni wazi kabisa kwamba polisi mmeshindwa kudeal na mambo muhimu ya kijamii, na kijeshi sasa mnaona mkomae na mambo madogo kama haya hadi muite waandishi wa habari mkidhani mtapata umaarufu.
 
Kwa maelezo ya picha inaonyesha walikuwa tayali wamemaliza kupigana mjengo.
Ila wasamehewe tu hakuna alie msafi.
 
Haikuwa sahihi kutangaza hatua walizochukuwa mbele ya vyombo vya habari, lingekuwa ni swala la hatua za kijeshi kimya kimya, hapo inakuwa kama viongozi wanafanya kazi kwa presha ya mitandao na vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom