Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

Huyo trafiki mwanaume ni jinga kabisa! Yani na ukongwe wake wote wa zaidi ya miaka 10 force ameshindwa kujua athari za kupigwa picha?

Namba Foxy(F) anafanya mambo kama ya ma (Hiro) bhana! Mwanzoni nilijua ni hili depo jipya kumbe mkongwe kabisa.

Hata huyo WP na alie wapiga picha ni watu wa muda wote ni (Golf) ila nao wamefanya upuuzi wa kupindukia. Sasa sijui wataficha wap sura zao? Ndio mapenzi upofu ama nini?

Sasa waende kampuni za ulinzi wakaanze upya maisha, pia inawezekana jamii imezawadiwa majambazi wapya! Kwa huu ugumu wa ajira sijui wataishi vipi na walishazoea kupiga mabao ya notifications barabarani.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

hii nayo ccp,c_coy
 
naikumbuka kampuni ya posta na simu, ulikuwa unazungusha na kupiga kwisha kazi.

Siku hizi ni smartphone tena zimeenda mbali zaidi una touch tu na kucapture picha ikiingia whatsapp ndio kuspread kila mahali na kwa kila mtu♪♩
 
Inamaana hawakujifunza uzalendo huko kwenye mafunzo? Maana tunaambiwa kua vijana wanaende JKT kujifunza uzalendo.

Uzalendo kwenye mapenzi...kweli mapenzi ni upofuu uniform plus jua loote hilo hawakushtukaaa!

Usiombe kupenda/mapenzi kazini yatakukuta ya bwana ngoswe kuchoma makaratasi ya sensa au ya hao askari kukosa kazi!
 
Nadhani ingekuwa ni vyema kama busara ingetumika kufikia haya maamuzi ya kuwafukuzisha kazi hawa ndugu,kuliko jazba na msukumo wa jeshi kutaka kuonekana ni watiifu na wafuata maadili ili hali sivyo.

Kwanza ni jambo la kuzingatia kuwa picha husika ni ya mwaka 2012,miaka miwili imesha pita bila jeshi kujua wala kugundua hili...Je kama si mitandao wangegundua? Na ni managapi yasiyo na maadili zaidi ya hili yanafanyika huko kwa kushuhudiwa na hata mengine pasi kushuhudiwa na bado hatua stahiki hazichukuliwi??

Ombi langu, ni vyema kwa taasisi za serikali(hasa vyombo vya ulinzi) kufanya kazi kwa umakini binafsi wa ndani kuliko mpaka kungojea kusukumwa na kufanya maamuzi kwa misukumo kutoka nje!!!
 
Kumbe picha ni mwaka 2012 sasa hao wakuu wakazi wamepandishwa hasira na nini hadi kunyima watendaji kazi wao ugali au ndio hizo blogs na whatsapp?!!?? Anyway jeshi lina mengi ya kushughulikia zaidi ya hili...pia pana mengi hutendeka huko zaidi ya tufikiriavyo....
 
Ama kweli mke wa mtu kasahau kiapo cha uaminifu cha ndoa wakati akivalishwa pete tunayoiona!! yawezekana pia huyo dume anayenyonya juice ni mwanandoa! sasa tuseme mwisho wa sinema hii ilikuwaje baada ya wapenzi hawa kusisimka kimwili ukizingatia wako karibu na kichaka!
 
Hizi nyege zao ni za kuku au mbwa! Binadamu polisi mtanzania mwenye dhamana ndani ya uniform haiwezi kufanya haya mchana kweupe
 
kamanda a polisi mkoani kagera henery mwaibambe ameeleza waandishi wa habari muda mfupi uliopita kuwa, askari hao na mwenzao aliyewapiga picha wametambuliwa na tayari wamefukuzwa kazi.

Kamanda mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni pc asuma mpaji mwasumbi mwenye namba f.7788, pc fadhiri linga mwenye namba g 2122 na pc veronica nazaremo mdeme, wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani misenyi, mkoani kagera.
==================

chanzo:harakatinews

huyo mwaibambe ni wivu tu! Wana kosa gani hawa?
 
Mi naona kama wameonewa...
Mbona wenye vyeo wana vituko zaidi ya hawa dagaa na hata warning hawapewi...

Walitakiwa wapewe onyo...lakini kuwafukuza kazi...
Kuna picha ngapi za waheshimiwa tena za aibu zaidi na hamna wanachofanywa zaidi ya stori kuwa ni za kutengenezwa...

That's not fair...

U have a point...
 
Nadhani ingekuwa ni vyema kama busara ingetumika kufikia haya maamuzi ya kuwafukuzisha kazi hawa ndugu,kuliko jazba na msukumo wa jeshi kutaka kuonekana ni watiifu na wafuata maadili ili hali sivyo.

Kwanza ni jambo la kuzingatia kuwa picha husika ni ya mwaka 2012,miaka miwili imesha pita bila jeshi kujua wala kugundua hili...Je kama si mitandao wangegundua? Na ni managapi yasiyo na maadili zaidi ya hili yanafanyika huko kwa kushuhudiwa na hata mengine pasi kushuhudiwa na bado hatua stahiki hazichukuliwi??

Ombi langu, ni vyema kwa taasisi za serikali(hasa vyombo vya ulinzi) kufanya kazi kwa umakini binafsi wa ndani kuliko mpaka kungojea kusukumwa na kufanya maamuzi kwa misukumo kutoka nje!!!

watanzana hamnaga jema nyie coz hata wangeanchwa bado mngekuja a hoja zingine ngumu
 
Wamewaonea, hasa ukichukulia wale wa tigo wanavyofanya uharamia mitaani.....

Na huyu je?????
BWxp1n5CIAEF2Od.jpg
 
watanzana hamnaga jema nyie coz hata wangeanchwa bado mngekuja a hoja zingine
ngumu

Sijui umesoma kwa makini kile nilicho andika na kujaribu kujua hoja yangu iko wapi????....au ni kasumba yako kutoa comments nyepesi kwa mambo magumu kama hili.

Zingatia, picha ni ya mwaka 2012 na hakuna miongoni mwetu anayefahamu fika kama ilikuwa ni kwa ridhaa ya washutumiwa/wahanga kwa picha husika kuwa-uploded mitandaoni!!.Swali na hoja yangu hapa ni, kama jeshi linazingatia utendaji wenye maadili iweje iwachukuwe mda mrefu kiasi hicho tena ni mpaka kwa msaada wa mitandao ndio wao sasa wakurupuke eti kutoa maamuzi hayo.

Zingatia, pia ni mambo mangapi yanafanyika/kufanyika ndani ya jeshi tene mabaya kimaadili kuliko hilo na wala hakuna hatua stahiki iliyochukuliwa??????

Najaribu tu kufanya sote tuone mbali..kwa maana kwamba what if hii picha isingalionekana mitandaoni au ni mangapi yanafanyika zaidi ya haya pasi ww kujua sembuse hili ndio macho yatutoke.Sibezi uamuzi husika maanai ni sahihi kulifanaya jeshi kuwa na maadili ila ni wajibu pia kwa jeshi kuwa MORE PROACTIVE rather than REACTIVE!!!

Karibu!!!
 
Hizi teknolijia zilipoingia, wengi hatukujua umbali wa madhara yake. Poleni maafande. Maisha yanaboa sana ukizembea. Bado tutashuhudia mengi. Nimekumbuka kazi za Jerry Muro zilivyoleta shida.

Mpiga hizo picha nadhani angeonywa tu!!
Polisi ni majanga tu kwa kweli. Kubambikia kesi, Rushwa, Ukanjanja, etc. Juzi kati kuna aliefumwa na kitoto cha shule.... Then kuna huyo hapo juu aliepiga picha za uchi. Tukivuka mipaka, huko Kenya baadhi ya askari wa kike walio lindo usiku wanajiuza!!
Mbombo ngafu!!

kosa hilo linahusu askari tu au watumishi wote wa umma?
 
Hapo ndo utakapoona ualimu mzuri.Hakunaga hayo mambo huku kwetu,et ya kufukuzwa kazi kawa upepo unapopita!!
Nimemsikia kamanda wa kagera amesema kuna mengine mbali na hili la picha-mahaba.
 
Back
Top Bottom