Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

Hatimaye bi na bwana trafik waloijipa matumaini ya kazi na dawa wametimuliwa kazi pamoja na trafik aliyewapiga picha. Source ITV habari 9-10-2014

Wale wanao kataa kuoa ma afande, wapo sahihi naanza kuwaelewa sasa.
 
Attachments

  • 1412853698054.jpg
    1412853698054.jpg
    25.8 KB · Views: 756
Huyo trafiki mwanaume ni jinga kabisa! Yani na ukongwe wake wote wa zaidi ya miaka 10 force ameshindwa kujua athari za kupigwa picha?

Namba Foxy(F) anafanya mambo kama ya ma (Hiro) bhana! Mwanzoni nilijua ni hili depo jipya kumbe mkongwe kabisa.

Hata huyo WP na alie wapiga picha ni watu wa muda wote ni (Golf) ila nao wamefanya upuuzi wa kupindukia. Sasa sijui wataficha wap sura zao? Ndio mapenzi upofu ama nini?

Sasa waende kampuni za ulinzi wakaanze upya maisha, pia inawezekana jamii imezawadiwa majambazi wapya! Kwa huu ugumu wa ajira sijui wataishi vipi na walishazoea kupiga mabao ya notifications barabarani.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Smartphone imekuja na vituko, huku kwa washambanyika! Kama ilivyokuwa chips na mimba enzi zile...nafikiri watazikumbuka philips savy kama sio nokia tochi
 
Inamaana hawakujifunza uzalendo huko kwenye mafunzo? Maana tunaambiwa kua vijana wanaende JKT kujifunza uzalendo.
 
Back
Top Bottom