Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

Hakika bila JF tusingefaidi hivi.Ingelikuwa zamani kutegemea gazeti la uhuru peke yake tusingejua. Asante kwa technolojia pana.
 
Wamewonea tu bana............sasa wewe ukiwa unatoka kazini uko na kitu yako usijinafasi...kisa nini? kwani kuna kanuni ukiwa unatoka kazini na uniform usipige mzigo...uonevu tu....afteral kwa huo mzigo sio mchezo ati....

Ha haaa ha haaaa! Aisee! Tanzania kuna vichwa. Eti mzigo wenyewe si mchezo; kwani kazini ni masaa mangapi hadi washindwe kujizuia? Ila jambo moja bado sijalielewa, Polisi hawana Mahakama zao za kijeshi kama JWTZ? Maana naliona hili kama ni suala la nidhamu zaidi.
 
Trafiki wa mkoani kagera hawana ursafiki na raia kwa sababu hizo, raia wanadai kila akikusimamisha faini.

Mkuu hiyo ni nchi nzima. Wamefikia hatua kama huna kosa anakuomba hela ya chai. Jeshi la Polisi wamejishusha sana aisee. Hivi wanawafundisha watoto wao maadili gani?
 
demu.jpg
Mmmmmh! ila huyo bint mwenyewe ana hips mzuri jamani!!!
 
Hata Wao Ni Binaadamu Na Wanahisia Kama Binaadam Wengne Mm Cjaona Baya Walilolifanya Wangekuwa Uch* Labda Ila Kiss Tu Limfukuzishe Mtu Kazi?
 
loh dada hana aibu pete kubwa vile ya ndoa

humo vyuoni si hatari zaidi mnatumaliza wake zetu mbutana
 
Mmmmmh! ila huyo bint mwenyewe ana hips mzuri jamani!!!

Kinachoonekana Huyu dada anapigwa na jamaaa

sasa kuna mtu akamzukia akakosa mzigo alafu anaurafiki na huyu bwana wake alichofanya ni kutuma wha...... kwake na kuiweka hadharani mkome kugawa simu ovyo hata kwa naniii dunia aieleweki sikuhizi

m nimeona mikocheni dada mmmoja aliombwa na bosi wake akatoa superv akataka kula mzigo akagomewa

bosi ana urafiki mkubwa tu na superv siku kajisahau kachungulia picha kilichofwata Ijumaa wanajua

kazi aliacha yule mwenyewe bosi aka resign biashara ikaisha acha kabisa tutumike na simu vya vitochi vina raha zake sa ngapi utapata picha zangu nyooooo
 
Kama Jeshi la polisi linadai kudhalilishwa na hawa askari ambao walikuwa wanapongezana baada ya kazi ngumu ya kupiga tochi magari, mbona Amplifier sorry, Speaker wa bunge letu hakuwaajibisha wale waheshimiwa walionaswa na makamera wakibanjuana na vibinti vya watu???? Hii ni kuoneana, serikali ni hii hii moja. Sheria inatakiwa ikate kotekote kama msumeno
 
Alooo kajamaaa kalimfaidi kweli kweli cha fasta fasta tena vichakani, sijui kalimpiga 'chuma mboga', au 'mbuzi kagoma..' au 'kwasa kwasa' au?
 
Kiukweli hawaja tendewa haki. Kwani upendo una ukomo wa mazingira. Picha yenyewe ni ya kawaida sana. Hapo lazima kuna kitu kimejificha.
 
Chochote kile unachotaka kufanya hapo TZ cha kiserikali, huwezi kufanikiwa mpaka utoe rushwa, na hili jambo liko wazi kabisa. YOU ARE REALLY RIGHT. Wakubwa mpaka wadogo wanataka rushwa, na wakati mwingine usifanikiwe hata kama umetoa rushwa, Mmoja amekula basi wapili nae pia atataka kula. Suali ni hilo, TUFANYEJE ILI TABIA HIYO IFE?? Hao wa kuzui rushwa wanafanya nini???
 
Kama kuna wanawake wanaoliwa bata makazini na mabosi au wafanyakazi wenzao WP wanainamishwa mno.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom