Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 170
- Thread starter
- #21
Ha ha ha haaa First Lady ni Teacher Bana.Kaka isiwe ni first lady....e e e e e e e utaozea jela
Ha ha ha haaa First Lady ni Teacher Bana.Kaka isiwe ni first lady....e e e e e e e utaozea jela
Mkuu hebu nifafanulie kwani wachaga wana matatizo gani?Though Nina ndoa but Natamani sana nipate askari wa kike hasa traffic. Kuna mmoja nammendea Yuko pale Salenda anaitwa R tatizo ni mchaga
Though Nina ndoa but Natamani sana nipate askari wa kike hasa traffic. Kuna mmoja nammendea Yuko pale Salenda anaitwa R tatizo ni mchaga
Mumewe alikuwa mchezaji mpira tena ni AskariNenda ukakutane na mumewe
Mmhh....Mie Sio Askari Wa Bunge
Isitoshe nipo huku kwenye mashamba yetu nalima.
hebu acha knipiga kikumbo bana! umesahahu kuwa mi ni super star? lols!
halafu istoshe leo nakuja kwenu... kampani ya wawili!...
Kwa akili yako ilivyo finyu watu wote waliopo huko dodoma hawajamuona atakuwa anakusubiri wewe.
Anajulikana kwa jina gani humu ndani?
picha....
ndoja ndugai akuskie...
Heeee toba weeee hotuba nzima umetoka kapa ...
We hujaona jinsi alivyojazia vizuri?Hahahaha kamuona tu yule dada.
We hujaona jinsi alivyojazia vizuri?