Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 170
Sipendi sana hizi hotuba za kisiasa lakini kuna wageni walikuja kwangu
wakitaka kumuona Jk akihutubia Bunge la katiba, Sikuvutiwa na chochote
Hadi pale Mwisho nilipomuona mwanadada ambae kajaaliwa umbo zuri la
kuvutia akimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania kutoka kwenye ukumbi,
Usifanye mchezo huyu dada kaujeruhi sana mtima wangu, natamani
kumfungia safari hukohuko Dodoma, sijui itawezekana?