KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Acha kulia lia kaza tena kama ww ni mwanaume kaza sana mbona walimu hawapati posho ya pango manesi hivyo hivyo tena angalau nyie mnapata vijihela mkikamata wavuta bangi kuna siku tulikamatwa kwa kosa la uzururaji tulivyofika polisi tukaambiwa tuachiwe tutoe 40000 tukatoa na tukapewa na bangi mule mule kituoni hawa askari wa bongo wengi ni wahuni
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Safi sana, tena na mshahara upunguziwe mwanahizaya wewe
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Heche akiwa anawatetea mlipwe vizuri na mtoke kuishi kwenye FULL SUTI ZA MABATI mnamkamata ,endeleeni kulamba MAKOTA ya abdul na bado hamjasema.
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Na bado endeleeni kuwa daraja la mafanikio ya kisiasa ya CCM
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Nadhani umeona comment za watu huku, kuongezea tu BURN IN HELL
 
Iko hivi, kibinadamu ngoja nikupe pole wewe na wenzio wengi mlio katika hali hiyo. Kwa kweli chuki ya raia kwa polisi ipo juu sana sababu zipo wazi.

Ukikaa chini na kutafakari mpo kwenye wakati mgumu sana, ndiyo ile wazaramo wanasema "Being placed between the rock and the hard surface" kwa maana ya kwamba inawapasa kutii amri hata kama mnajua ni onevu, kwa sababu kinyume chake ni uasi na matokeo yake yanajulikana. Ukisema utekeleze kama mara nyingi mnavyofanya ndiyo chuki kuu kutoka kwa raia.

Ukipata upenyo, chukua mkopo halafu sepa zako uangalie ustaarabu mwingine.
 
Nyie ndio Vinara wa
1. Utekaji.
2. Mauaji.
3. Watu kupotezwa.
4. Rushwa.
5. Wizi wa Simu zetu
5.Kubambikiza watu kesi za Uongo.
6. Kutesa.
7. Ubakaji.

Nyie ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Hamna Faida kuliko hasara nyingi kwenye Nchi yetu

SIWAPENDI WAUAJI WAKUBWA NYIE.
8. Wafiraji
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Achaneni na Tabia ya kutumika kama DEKIO la Siasa chafu. Mnapokuwa Masta paredi Toeni hoja zenu na sio kila kitu "ndio Afande". Ona sasa wanasiasa wamejigundulia dekio la kusafisha pale walipochafua - ni nyie maPolisi.
 
Kwani mnakaa kwenye mapango na sio nyumba!!!?? Sidhani kama huku kuna jibu la changamoto zako
Tatizo ninaloliona ni kwamba hawana Uwakilishi ngazi za juu. e.g. Ukiwa Wilayani hawana Diwani wao hata wa viti maalum; Ukienda mkoani/majimboni hakuna Mbunge anayepokea au anayejali changamoto zao - hao ni kama "waliotengwa" ilhali ni watanzania wenzetu na tunaishi nao. Mbaya zaidi wenyewe wakishavaa magwanda na kubeba bunduki wanajiona wamemaliza - wanasahau soko ni hilohilo tunaenda wote na itakapokuja El nino haitabagua.
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Umepanga wapi ?Maana wengine tuna hasira na polisi haswa
 
Nyie si mna vile vibanda vyenu? Posho za nini sasa? Mbona hamna uzalendo🤣

Na mnyooshwe hivyo hivyo hadi akili ziwakae sawa wauaji wakubwa nyie. Nimesahau kumbe akili hamna.
 
Back
Top Bottom