lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 915
- 2,772
Tunataka kuandamana hili mpewe hizo allowances na mishaara minono ila tunaogopa mtatupiga mabomu
Kazi yao ina wakati mgumu sana hawa watu sema hawajui tu ilitakiwa wawe na ukaribu sana na raia na sio kujenga chuki maana mwisho wa siku wakitemwa wanarudi uraianiKwa namna jeshi linavyofanya kazi, ni vigumu kwa walio wa chini (askari wenye vyeo vya chini) kupata haki
Ukisema uwasilishe kwenye vikao vyenu vya ndani, nyie wa chini hamshirikigi hivyo vikao isipokuwa maafisa wa vyeo vya juu 🙌
Mkisema mlalamike kwa Waziri, baada ya muda unatekwa/potezwa
Nyie haki yenu ni posho za kusimamia mitihani tu, lakini hizo nyingine waachieni wakubwa wanaowapeni oda mkaue wakati wao mikono yao haishiki hata hizo bunduki zenu
Kabisa MkuuKazi yao ina wakati mgumu sana hawa watu sema hawajui tu ilitakiwa wawe na ukaribu sana na raia na sio kujenga chuki maana mwisho wa siku wakitemwa wanarudi uraiani
Yeah ni kiasi kidogo sana kama hakujenga nyumba kabla lazima akili zimruke hapoKabisa Mkuu
Kuna mmoja nilimsaidia kusukuma pension yake kutoka kwa haraka, baada ya kikokotoo cha 33% alifanikiwa kupata gawio la 29,500,860 hivi kama sijakosea
Ni kiasi kidogo ukilinganisha na ukatili wanaowafanyia raia Kila siku kwa miaka 34 aliyotumikia jeshi 🙌
Tatizo la askari linaanzia kwenye mafunzo yao, wamefundishwa kutekeleza amri kwanza halafu ndio uhoji.Kazi yao ina wakati mgumu sana hawa watu sema hawajui tu ilitakiwa wawe na ukaribu sana na raia na sio kujenga chuki maana mwisho wa siku wakitemwa wanarudi uraiani
Kwa kweli watumishi wa umma wangeweza, wangeungana kupinga hii formula ya 33%Yeah ni kiasi kidogo sana kama hakujenga nyumba kabla lazima akili zimruke hapo
Acha kulialia huko...Rushwa zote hizo mnazokula ?Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Nenda wizara ya mambo ya ndani ndio kuna Boss wenu. Hapa sisi tunakuona Spy tuAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Hahahaha dahNikipita hizo kota Sasa😁full mabata yanazagaa,,,,,