KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Hata pumzi ikiwezekana msipewe...
 
Mbwa ana kaa kwenye banda, kwenye banda hulipi kodi.
Nilkua naenda sehemu nimepanda pikipiki anaendesha jamaa akaniambia umemuona Mbwa? Nikaanza kuangalia angalia nikamuuliza Mbwa yupo wapi? Jamaa akaniuliza tena hujamuona Mbwa? Nikamwambia sijamuona Mbwa yuko wapi? Kumbe pembeni yetu kulikua na Askari kavaa uniform zake za olive anaendesha pikipiki, jamaa akaniambia Mbwa yule pale anaendesha pikipiki, ikabidi nichoke na kujitafakari kidogo

Hapo kwenye banda napo umenikumbusha kuna mbwa alizaa vitoto akawa yupo tu nje na vitoto sasa mwenye Mbwa sababu alikua anampenda akaenda kumnunulia banda likaletwa likaingizwa ndani akatengewa sehemu akaingizwa akaanza kuishi humo na vitoto vyake, hakika kweli Mbwa hachagui banda na Mbwa halipii kodi banda lake anaishi bure, kodi, chakula, maji, umeme, nk vyote ni juu ya mwenye Mbwa, Mbwa kazi yake ni moja tu kulinda na kung'ata
 
Kwa namna jeshi linavyofanya kazi, ni vigumu kwa walio wa chini (askari wenye vyeo vya chini) kupata haki

Ukisema uwasilishe kwenye vikao vyenu vya ndani, nyie wa chini hamshirikigi hivyo vikao isipokuwa maafisa wa vyeo vya juu 🙌

Mkisema mlalamike kwa Waziri, baada ya muda unatekwa/potezwa

Nyie haki yenu ni posho za kusimamia mitihani tu, lakini hizo nyingine waachieni wakubwa wanaowapeni oda mkaue wakati wao mikono yao haishiki hata hizo bunduki zenu
 
Nyie ndio Vinara wa
1. Utekaji.
2. Mauaji.
3. Watu kupotezwa.
4. Rushwa.
5. Wizi wa Simu zetu
5.Kubambikiza watu kesi za Uongo.
6. Kutesa.
7. Ubakaji.

Nyie ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Hamna Faida kuliko hasara nyingi kwenye Nchi yetu

SIWAPENDI WAUAJI WAKUBWA NYIE.
8-Kuiba /Kupora Kura za CHADEMA .Shenzi zao
 
Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.

Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Rubbish
 
nyie vibaraka ccm hata mshahara hamstahiri kupata kwa yale ya october 29
 
Back
Top Bottom