Asiwaze wa Stamina Ft Atan

Asiwaze wa Stamina Ft Atan

Kwa huu wimbo wake mpya wa bwana starmina kuna haja ya kuchunguzana kabla watu hawajaingia kwenye ndoa ni muhimu kukaa kwenye mahusiano hata Miaka mitatu kwa kweli

Moja ya mistari ya kwenye huo wimbo

“Hata posa niliyoitoa mwambieni aingize vicoba”

“Unaweza mpakia mkongo mkeo na usimridhishe ila anaempakia mkorogo akafanya amridhishe”

Kaimba kihisi kweli

Walioko kwenye ndoa wanatamani watoke ambao hawapo kwenye ndoa wanaitamani ndoa[emoji1430]

Hivi posa inapelekwa vicoba ili ikafanye nini, ingekuwa mahari hapo sawa uandishi gani wa mashairi huu...?

Mtunzi huwa sijawahi kumuelewa aisee.
 
Vijana sijui mnatafuta nini kwenye hizo ndoa, maana mtaani vyote vinapatikana kiurahisi kabisa tena kuliko hata huko kwenye ndoa. Ukitaka good sex zama kitaa, kids utapata bila shida, what else?

Sent using Jamii Forums mobile app

Heshima

Ndoa ni heshima kwa pande zote mbili
Pia kidini ndoa ni jambo la kheri
 
Hivi posa inapelekwa vicoba ili ikafanye nini, ingekuwa mahari hapo sawa uandishi gani wa mashairi huu...?

Mtunzi huwa sijawahi kumuelewa aisee.

Ikazalishe[emoji16][emoji16] Kama alimtolea posa labda 100k Au 500k akipeleka vicoba atapata faida[emoji41]
 
Kwamba ukiwa na ndoa ndio utaheshimiwa? Mbona wengi walio na ndoa hawajiheshimu? Kidini ni kheri,lakin kuhalisia ni majanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app

YES
Haswa kwa sisi wanawake ndoa ni heshima, kuzalia nyumbani kwa makabila mengine ni matusi
Au unafikisha miaka 40+ upo tu nyumbani (maana kuna family hautoki nyumbani hadi uolewe Au kwasabb maalum)

Kiuhalisia ni majanga ila sio kwa wote Mbona wengine wanaenjoy tu kama changamoto hata bila ndoa changamoto matatizo yapo tu
 
unaambiwa kosea njia utaelkezwa ila usikosee mke wa kuoa.. ni vyema kipindi cha uchumba kiwe at miaka 7 ivi n sio mtu umeypatia maish kidg afta 1 yr unataka kuoa.
 
Kama maziwa unapata kila ukihitaji, unafuga ng’ombe kwa kazi gani..?
 
Back
Top Bottom