Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,235
- 2,546
Amina
Ndoa ya mhimu Sana ndug , hayo mambo mengne ya kawaida tuu, watoto waliozaliwa kwenye ndoa Wana umoja Sana , na pia ukifikisha miaka 50+ unakuwa unahtaj faraja ya mke watoto na wajukuu, ukiwa alone ni stress Sana kpind hicho, Ulaya watu wengi Sana wanakutwa wamekufa majumban kwao Zaid hata ya wiki mbili sababu ya maisha ya upweke ,Kwamba ukiwa na ndoa ndio utaheshimiwa? Mbona wengi walio na ndoa hawajiheshimu? Kidini ni kheri,lakin kuhalisia ni majanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan mkuu??nasikisikia kijana wa msimbazi ni yule alieko lindi kule na aliendekeza mapenzi hadi akaisha kiwango
Ndoa ya mhimu Sana ndug , hayo mambo mengne ya kawaida tuu, watoto waliozaliwa kwenye ndoa Wana umoja Sana , na pia ukifikisha miaka 50+ unakuwa unahtaj faraja ya mke watoto na wajukuu, ukiwa alone ni stress Sana kpind hicho, Ulaya watu wengi Sana wanakutwa wamekufa majumban kwao Zaid hata ya wiki mbili sababu ya maisha ya upweke ,
Ndoa ya mhimu Sana ndug , hayo mambo mengne ya kawaida tuu, watoto waliozaliwa kwenye ndoa Wana umoja Sana , na pia ukifikisha miaka 50+ unakuwa unahtaj faraja ya mke watoto na wajukuu, ukiwa alone ni stress Sana kpind hicho, Ulaya watu wengi Sana wanakutwa wamekufa majumban kwao Zaid hata ya wiki mbili sababu ya maisha ya upweke ,
Hehe..anamaanisha mkorogo KY enh? so huyo mwana soka alikuwa anaipitisha kwa chini!?Kwa huu wimbo wake mpya wa bwana stamina kuna haja ya kuchunguzana kabla watu hawajaingia kwenye ndoa ni muhimu kukaa kwenye mahusiano hata Miaka mitatu kwa kweli
Moja ya mistari ya kwenye huo wimbo
“Hata posa niliyoitoa mwambieni aingize vicoba”
“Unaweza mpakia mkongo mkeo na usimridhishe ila anaempakia mkorogo akafanya amridhishe”
Kaimba kihisi kweli
Walioko kwenye ndoa wanatamani watoke ambao hawapo kwenye ndoa wanaitamani ndoa[emoji1430]
Hatari sana, waoaji na waoe tu aisee.Hahaha siku hizi kuoa ni Sawa na kucheza biko au Tatu mzuka [emoji23][emoji1787][emoji23]
Kamla Kaka wa jamaa.... Inaonekana Kaka wa jamaa sio Risk.
Utanielewa badae , huwez kunielewa sasa , sababu Una nguvu , na kila mmoja anakuchekea, kwenye shughul zangu huwa nahusika na Hawa watu they regret a lot , msikilize hata Dr Shika anaprove pia , umri wa mtu duniani ni Miaka 80, Zaid ya hapo ni extra na chin ya hapo ni just accident , na ndo mana watu wanajenga nyumba za kudumu miaka 200 , wakat wao hawawezi ifikishaHiyo miaka 50+ unaipata wapi wanawake wameanza kasumba ya kukata vitendea kazi, ukipata upenyo we kimbia hujui siku yako lini.... gharama za kufuga hao viumbe ni kubwa mno ukilinganisha na mavuno ya ‘uzeeni’ ambayo kwanza huna uhakika.
Jesus saves, I spend.
Yes man, hyo ni negative side ya kwenye ndoa , but still ndoa ina mambo meng mazur , hayo mengine ni changamoto Tu za kawaida , nasema hv Kwa sababu even me nilikuwa sina Mpango na ndoa , katika shughul zangu najikuta nadeal Sana na watu wanaohtaj faraja na care , most of them ni Wale wasio na ndoa and they can't do anything cse umri umesonga , walipiga mimba mabint kpind hcho na hawakujal kuhusu watoto , na sasa umri umesonga wanahtaj msaidizi from their own blood , ndug kila mmoja ana mambo yake, wanapopata maradh wanakomaa wenyewe au watu fulan wamawasaidia Kwa malipo, hakuna kitu kinachouma kama unahtaj faraja na mtu wa kukupa faraja inabd umlipe ... Sku zote wananishaur nioe niwe na familia na nilee watoto vzur , baraka nitakutana nazo mbeleni wanadai wanaumia mno wanapoona wazee wenzao watoto wao wanakuja msimu wa sikukuu na wajukuu kuwasalimia na kuwapa zawad ,......Bongo watu wanakutwa wamekufa kisa wivu wa mapenz kweny ndoa..haya mambo bwana mkuu acha mim nikae pemben kidgo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes man, hyo ni negative side ya kwenye ndoa , but still ndoa ina mambo meng mazur , hayo mengine ni changamoto Tu za kawaida , nasema hv Kwa sababu even me nilikuwa sina Mpango na ndoa , katika shughul zangu najikuta nadeal Sana na watu wanaohtaj faraja na care , most of them ni Wale wasio na ndoa and they can't do anything cse umri umesonga , walipiga mimba mabint kpind hcho na hawakujal kuhusu watoto , na sasa umri umesonga wanahtaj msaidizi from their own blood , ndug kila mmoja ana mambo yake, wanapopata maradh wanakomaa wenyewe au watu fulan wamawasaidia Kwa malipo, hakuna kitu kinachouma kama unahtaj faraja na mtu wa kukupa faraja inabd umlipe ... Sku zote wananishaur nioe niwe na familia na nilee watoto vzur , baraka nitakutana nazo mbeleni wanadai wanaumia mno wanapoona wazee wenzao watoto wao wanakuja msimu wa sikukuu na wajukuu kuwasalimia na kuwapa zawad ,......
Mambo ya akina stamina ni changamoto za ujana Tu za kukurupuka na ndoa za show off, lakn bado hata stamina anaweza kupata ndoa njema Tu na lyfe likasonga , mbna kwenye mapenz maumivu yapo Tu , watu wanaachwa na mademu zao mabint nao wanaachwa na Mabwana zao na inauma kweli lakn ndoa ni ndoa tu.... If you get the chance oa mkuu....Mimi next year naoa
Asante sana mjukuu mpenzi wa babu.
Kabla hujampelekea hiyo bikra hakikisha unaileta niikague asije akatugeuka
Stamina ndio ana matatizo, jamaa alikuwa Malaya sana , hasa akienda kupiga show ,yeye na Roma ndio zao, sema Roma ashukuru mke wake mvumilivu sanaNimemsikiliza Roma mkatoliki akiongelea huu wimbo anasema jamaa kaimba kuhusu maisha yake ya ndoa kbc na yeye kama msimamizi wa hii ndoa ameshasuluhisha sana mpk kachoka,Huyo mke wa stamina hayuko nyumbani toka mwaka jana mwezi wa tatuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Stamina na Roma ni wahuni tu, Stamina alikuwa anatembea sana na machangudoa , halafu katoka kuoa tu ndoa changa, hata Shilawadu waliwahi kufatwa na Dada mmoja kazulumiwa hela baada ya sex na stamina , Stamina akabisha, ikafanyika kuunganishwa kwenye simu akakiri hadharani baada ya kuunganishwa maongezi. , kumbe alimdanganya mke wake ameenda kwenye show , walikuwa na Roma .Mnatukata stimu *****.zenu tuacheni tuoe tutulie nawake zetu. Huo wimbo nimeuskia skomoja ukanikera sana. Watu tayar tuko namitoto yakutosha afu yanatokea mafala yanatushawishi natenzi zao tutoe talaka, ili iweje? Ili watoto wetu wakue nababa wawili??
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ya familiaUnaihakiki vipi?😂😂😂