Ndoa za Hawa Musician ni vigumu sana kudumu. Upuuzi wao wanataka kuuhalalisha kwa wengine.
Tatizo lao wanaishi Maisha ya gharama na show off kibao wakati huko mtaani wanashindwa kulipa Kodi za pango, kulipa Ada za Watoto shule ni mgogoro lakini wawapo mitaani pyepyepye nyingi sana, Je katika hali kama hiyo utaacha kugongewa?
Na mtagongewa sana tu Wala hizo nyimbo hazisaidii chochote
Sent using Jamii Forums mobile app