Asiwaze wa Stamina Ft Atan

Asiwaze wa Stamina Ft Atan

Sentensi ya pili ndo ina maana kubwa kwangu zaidi. Hayo mengine hebu tuyaache
Happy New Year my lovely dear mjukuu. Nimefurahi umeingia mwaka mpya na bikira yako. Keep up the good works darling
Thank you dia babu,mwaka ukae wa heri kwetu

Hii bikra yangu naitunza hadi 2021....namtunzia naniliu
 
Nimemsikiliza Roma mkatoliki akiongelea huu wimbo anasema jamaa kaimba kuhusu maisha yake ya ndoa kbc na yeye kama msimamizi wa hii ndoa ameshasuluhisha sana mpk kachoka,Huyo mke wa stamina hayuko nyumbani toka mwaka jana mwezi wa tatuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you dia babu,mwaka ukae wa heri kwetu

Hii bikra yangu naitunza hadi 2021....namtunzia naniliu
Asante sana mjukuu mpenzi wa babu.

Kabla hujampelekea hiyo bikra hakikisha unaileta niikague asije akatugeuka
 
Kwa huu wimbo wake mpya wa bwana stamina kuna haja ya kuchunguzana kabla watu hawajaingia kwenye ndoa ni muhimu kukaa kwenye mahusiano hata Miaka mitatu kwa kweli

Moja ya mistari ya kwenye huo wimbo

“Hata posa niliyoitoa mwambieni aingize vicoba”

“Unaweza mpakia mkongo mkeo na usimridhishe ila anaempakia mkorogo akafanya amridhishe”

Kaimba kihisi kweli

Walioko kwenye ndoa wanatamani watoke ambao hawapo kwenye ndoa wanaitamani ndoa[emoji1430]
 
Back
Top Bottom