sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,439
- 5,118
Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda.
Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo.
Shida inakuja wanapokutana na watoto wa pharaoh, wakatendwa kisha ukikutana nae, kila unachofanya anaona wewe ni msanii kama yule yule.
Kama mwanaume unakutana na wadada waliopitia miasukosuko tu, unaweza dhani wanawake wote wako hivyo au hakuna mapenzi ya kweli.