Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Jan 6, 2022
26
140
Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,

Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa

Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi

Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana

Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana

Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu

Ntarudiiiii
 
Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 atimae NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,
Kiukwli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa
Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi
Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana
Na hanq tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana

Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu

Ntarudiiiii
Ukiweza bakiza hakiba ya mashaka kidogo! Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Na hisia ni kitu cha ajabu mno....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ya kwetu yalianza hivyo hivyo, kuulizwa unakula nini, babe usisahau kutega neti usije kuumwa mbu, babe kumbuka kubeba lunch boks yako n.k ila saivi hata simu hapokei.

Muhimu hatukujiua tu pamoja na kutumia gharama nyingi kugharamia penzi.

Wahenga walisema tuwe na Kiasi 🙌
 
Swala la muda tu utakuja na uzi kujifanya unamuulizia rafiki ambae katendwa.

Hawa viumbe ni kama kinyonga. Asubuhi anakwambia nakupenda usiku unasikia anaolewa na njemba nyingine.

Penda ila weka akiba mzee baba la sivyo utaishia kumwagilia bustani huku mvua inanyesha.
 
Back
Top Bottom