Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.

Unaweza kuongezea na wewe...
Hupo dodoma kwenye kikao cha ccm unatafuta umalaya wa uchawa.
 
1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo
4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF
5. Member wengi wa JF washawahi kudanganya juu ya jambo au uhalisia fulani kuhusu yeye.

Unaweza kuongezea na wewe...
Anza kutujulisha kwanza dhamira ya utafiti wako.
 
Nahitaji T shirt ya JF lakini kama nime-qualify si kila mtu anatakiwa kuwa nayo tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom