Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo.
Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%.
Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer Baraka Mwambage, akiongea na Daily News katika mikakati yake kupunguza foleni hii barabara.
My take: Tatizo wameshalijua, ila wanalipaka rangi. Kurekebisha barabara na kupanua ni temporary solution.