St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,234
Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
View attachment 34951
Nimeuliza huko jukwaa la utani watu wakafikiri natania asante mdau kwa kuniwakilisha.