Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

Alooo umenitamanisha kinoma ngoja niende na mimi nikajipatie kitu murua plus castel bariiiiiidi
<br />
<br />
Mh! Uchu utawapeleka pabaya nyie watu kupenda kula manyama mengine ambayo hata hayaelezeki. Eti tamu!
 
Mh! Uchu utawapeleka pabaya nyie watu kupenda kula manyama mengine ambayo hata hayaelezeki. Eti tamu!
We koplo aah sorry sajenti ndio maana hupandi vyeo, kamata kitu matata roho inapenda bana.
Kwanini unakashfu mkuu wa meza
 
Mwezi mtukufu huu, Jombi Paulss, unazitia swaumu zetu majaribuni jombi. Wacha kwanza tufungulie ndo uposti picha kama hilo. Mbezi sehemu gani? Manake mizagazaga juu kibao! Niambie mwezi ukiisha tu niwahi huko.
 
Mwezi mtukufu huu, Jombi Paulss, unazitia swaumu zetu majaribuni jombi. Wacha kwanza tufungulie ndo uposti picha kama hilo. Mbezi sehemu gani? Manake mizagazaga juu kibao! Niambie mwezi ukiisha tu niwahi huko. Sio pale Green Park kweli??
 
Jombii hiyo kitu hatari macho yameona tumbo limeitika
 
si mseme tu mau-staadhi kwa sasa wako mfungoni ndio maaana wateja wamepungua hasa kule Zenji

We Toro una maana gani kwani kufunga mwezi mtukufu kuna uhusiano na 'kuacha' kula? Kama watu wameacha kula mbona mahitaji ya vyakula masokoni yamekuwa makubwa sana mwezi huu na hata bei zipo juu?
Au una maana mwezi huu kuna watu hawamli mzee wa meza? kama ndivo sawa lakini kama ni kusema eti watu hawali vyakula, no no no! hilo hapana labda useme wamebadilisha masaa ya kula, badala ya kula mchana wanakula jioni na usiku....
 
mjadala huu unaleta udini. Hili ni jamb baya sana. Msilete issues zinazoleta malumbano na mitafaruku in our society. I hate vitu na issues za aina hii.
 
mjadala huu unaleta udini. Hili ni jamb baya sana. Msilete issues zinazoleta malumbano na mitafaruku in our society. I hate vitu na issues za aina hii.
Pole mkuu kama umekwazika kwa namna yoyote ile,
isipokuwa hizo ni hisia zako tu sisi tunaongelea mkuu wa meza jinsi alivyo mtamu na kwa sasa wateja wamepungua BASI...
 
Back
Top Bottom