Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

mwanakwetu kitu cha matejoo hicho kinaita ile mbaya halafu ki2 kimeshuka bei hivi ninavyoongea coz wateja wachache!.
 
Ndio hivyo wateja wakubwa wamekosa mafuta kwenye gari zao! Au kuna sababu nyingine??
mkuu kimepungua wateja ghafla baada ya ile siku ya maasi mengi kuliko zote ktk mwaka siku hiyo inaitwa vunja jungu
 
<font color="#4b0082"><span style="font-family: century gothic">Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki</span></font><br />
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=34951&amp;stc=1" attachmentid="34951" alt="" id="vbattach_34951" class="previewthumb size_fullsize" />

Hata Quran Tukutu inaruhusu hii kitu, ila tahadhari ni kwamba "usizidishe kiasi!"
 
Hakuna hapa cha hacheui wala nini!
{Oya muhudumu ee kama kawa kilam2 na ustaarabu wake na chachandu kemi desturo}
 
Siku nyingine usile mandizi mengi hivyo!!!
weka 1Kg, ndizi mbili na mchicha wakutosha!

Hakikisha una kitu cha Ballentine pembeni, na maji bardiii.....najua hapo hakuna ice
 
Back
Top Bottom