Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Paul S.S, Aug 6, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
  KITIMOTO.jpg
   
 2. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mimi naona ndizi,mchicha na vipande vya nyanya tu hapo
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Karantin imepigwa mbeya na iringa utaugua ww mafua ya nguruwe
   
 4. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii siyo mboga kweli na huu mwezi mtukufu
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Teh teh teeh vaa miwani mkuu
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Karantini umesema ipo Dar au Mbeya na Iringa? lakini hapa ni daslamu mkuu
   
 7. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Unaposema wateja wamepungua kipindi hiki yani tukuelewe vipi?
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  inamaanisha wateja wakubwa wa hii kitu hawa hudhurii kwa sasa sijui kwanini
   
 9. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bado hujakamilisha utamu wenyewe!mbona hakuna kimiminika chochote mkuu?
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu, umeua hapo.
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,151
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Nguruwe mtamu usiambiwe bana.
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ha haaa mkuu ingawa kunaukweli lakini nachelea kukiri hivyo nisije nikashambuliwa na wenyewe
   
 13. P

  Paul S.S Verified User

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Duh mkuu nimekubali wewe mtaaluma wa hii habari, itakuwa haina uhondo kukamata hii maneno bila kimiminika cha kushushia, kilikuwepo pembeni sema wakati nafotoa kimeo changu cha mchina kilikonsetreiti kwenye mboga
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu hiyo kama sio kimara itakuwa vingunguti halafu mwezi mkuu ushaanza kunihatarishia swaumuh yangu..

  Astaqafilah..
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Eeeh bana eeeeeh kitu imesimama si mchezo!! mbuzi katoliki huyoooooooooooooooooooooooooooooo
   
 16. M

  Mayu JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Alooo umenitamanisha kinoma ngoja niende na mimi nikajipatie kitu murua plus castel bariiiiiidi
   
 17. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />

  Pale ni safari resort; wanafuga wenyewe na ndizi wanalima Boko.
   
 18. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  si mseme tu mau-staadhi kwa sasa wako mfungoni ndio maaana wateja wamepungua hasa kule Zenji
   
 19. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mbona chakula kingi hivyo
  hakuna bajeti?
  umasikini huu unaletwa na tumbo
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Nimeuliza huko jukwaa la utani watu wakafikiri natania asante mdau kwa kuniwakilisha.
   
Loading...