Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

Ila hiyo plate!!!
Yaonekana ni uchochoroni; kwanini sehemu nyingi za huyo mdudu huduma dhaifu?

Wapi utapata juicy ribs za huyu kiumbe kwa hali nadhifu? Nilikula hii kitu Maryland kwenye mgahawa wa black americani, kitu sijui ilimarinatiwa na redwine maana it was sweet sour ni balaa!

Wenye kujua sehema nzuri za hii kitu tujulishane!
 
Hata Quran Tukutu inaruhusu hii kitu, ila tahadhari ni kwamba "usizidishe kiasi!"
Naam shekh wangu hapo umenena

Siku nyingine usile mandizi mengi hivyo!!!
weka 1Kg, ndizi mbili na mchicha wakutosha!

Hakikisha una kitu cha Ballentine pembeni, na maji bardiii.....najua hapo hakuna ice
Mkuu umesomeka uzuri ,ntalizingatia hilo next time
 
Back
Top Bottom