Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,206
- 5,074
Mbona Heche usemi ni wap toka alivyokua Mwalimu?Nimewaambia sana kuhusu huyo mtu.
Ni pandikizi la CCM Dola.
Ni Askari police.
Ni mtu wa Kipepeo mweusi.
Ni Mwanasheria.
Anataka kuaminika kwa watanganyika Aende CHADEM apate NAFASI awavuruge vibaya mno.
MADEREKA NI KIRUSI HATARI.
NIGUSE NINUKE.
Wakampeleka Sauti .
kiufupi Upinzani vimeo vingi sana.
Ali Kibao nilwona mjinga sana alivyojimaliza kwao akiamini kuna siri mule.
RiP kibao