Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,849
- 5,473
Freeman mwenyewe si wa kuaminika ma hsta huyo Mbatia ni haohao tu. Siasa imejaa mapandikizi wengi sana wanaojifanya hawao upande wa serikali kumbe ni dramavp kushusu J Mnyika?
Maingizo mengi ya Freeman ni Vipep..
Freeman alipewa vijana ndio akina Katabi, nk
Mbatia alipewa akina Tumbili, Moses, Nk
Bahati mbaya wabongo wanadhani kuishi kwa siasa ni rahisi haha jaribu wengine wapo kwenye payrol.
Kipenyo, Kificho, Kibanzi.
Vyama vya upinzani wamejaa vificho hasa kwenye mabaraza ya Vijana.