AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,081
Nikaribishe leo Mwaya... Kibarua ndio kinafanya nipotee... Babu Asprin hajambo?
ODM toka jana yupo kulewa tu....lol... yaani anadai yeye ana RULE na sasa Ukaguzi kwenda mbele!! HATARI Tupu yule jamaa... As WoY nimeanza kampeni ukaguzi lazima uzingatie vigezo na Masharti! lol
Napenda sababu it is your first time nikukaribishe weekend ili nipike what you like saizi mda umeisha... Sema wapenda vyakula wali, ugali, Ndizi ama vya unga wa ngano?