AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Nikaribishe leo Mwaya... Kibarua ndio kinafanya nipotee... Babu Asprin hajambo?

ODM toka jana yupo kulewa tu....lol... yaani anadai yeye ana RULE na sasa Ukaguzi kwenda mbele!! HATARI Tupu yule jamaa... As WoY nimeanza kampeni ukaguzi lazima uzingatie vigezo na Masharti! lol

Napenda sababu it is your first time nikukaribishe weekend ili nipike what you like saizi mda umeisha... Sema wapenda vyakula wali, ugali, Ndizi ama vya unga wa ngano?
 
Thanks much for ur prayer and appreciation,IF U DO WELL,U WILL ALWAYS BE FAVORED,IT IS UR ACCEPTED TIME ASHADII,nikweli kwamba the WORDS make us and brake us,GREAT MAN AND WOMAN are made by WORDS,ur the great woman.great thinker wa ukweli

Nikweli kwamba sijui chochote namna ya jf inavyofanya kazi nasikiaga tu PM,naona watu wanaweka mada sijui namna inavyokuwa
 
Nimeishiwa Maneno.... I just wish uone the way I feel as a result of this post.... It has humbled me, has Inspired me, has rejuvinated me to some extent in ways huwezi jua... Naamini saaana kua maneno ni dawa.. yaweza kuponya, kukudhohofisha na hata kukuua kabisa. Kwamba umeweza jiunga uweze nifikishia tu huu Ujumbe... I am humbly HUMBLED... Na it has been on the Perfect day of Woman's day. NAKUSHUKURU SAANA. Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akubariki... Akujaalie uweze pata Mwanamke alo bora wa kufika nae Kanisani na AWABARIKI Iwe moja ya Familia bora katika jamii katika kila nyanja ya Msingi ya Familia.

Karibu saaana JF, You need assistance I will always be there if it is within my power nitajitahidi.

Pamoja saana with DEEP Appreciation. THANK U.

AshaDii.

Thanks much for ur prayer and appreciation,IF U DO WELL,U WILL ALWAYS BE FAVORED,IT IS UR ACCEPTED TIME ASHADII,nikweli kwamba the WORDS make us and brake us,GREAT MAN AND WOMAN are made by WORDS,ur the great woman.great thinker wa ukweli

Nikweli kwamba sijui chochote namna ya jf inavyofanya kazi nasikiaga tu PM,naona watu wanaweka mada sijui namna inavyokuwa
 
Habari wana JF…

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna… Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu…. kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia…. ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.
Hongera zako bidada, ubunge vp?
 
Naomba nikuambie kua nimecheka saaana kusikia linalo kutatiza ni PM.... Kweli tena. Sio kwa nia mbaya ila tu sababu ni kitu ambacho kwa kweli siku zinavozidi kuenda ndio waweza taka tumia. Hata hivo nitakupa hilo darasa kua PM nini... Nipe tu subira kidogo.

THANK U for your Acknowledgment....
 
Hahaha! ok nasubiria hayo maarifa
 
Habari wana JF…

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna… Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu…. kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia…. ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.

Hongera sana AshaDii........msalimie sana.......mazee SteveDii...........
 
Mitishamba nikupe Siri?? Hivi ulivo niingia kwa kuni Criticise ndio jinsi tulivokua na Member mmoja kwa Jina la Matola hata na huyu JB.... Tulitoka mbali lakini hatimae we are good Friends... Sababu as much as tuna views mbali mbali siku moja tulijadili na kubishana kwa kutumia Hoja kama ilivo kua mimi na wewe Leo... AND it was worth it.

Nafurahi for I know unaweza ukawa bado hujaridhia kua ni "JF Woman of the year" BUT atleast siku nyingine mimi na wewe tutawasiliana kwa Amani na kuweka tofauti zetu pembeni.... na tutawa good friends hapa Jamvini.... Na hio tayari ni dhahiri, For ni Marafiki/ndugu/jamaa na the ones we love ambao huwa twawakaribisha Chakula hasa Lunch na Dinner.... Asante kwa kunikaribisha.... Nikiangalia katika hilo Kundi I am proud to have made a friend out of you.... THANK U.

Pamoa saana Mitishamba.... Enjoy your Lunch dear....
Thanks Asha Dii.
Usijali, Criticisms are good for healthier discusions....tatizo la kule kwenye jukwaa lenu ndo lile lile nalosema kila wakati kuwa wengi wanataka kila mtu awe na mawazo kama wao...ukiwa tofauti basi adui.
Kuna usemi mmoja ambao sikumbuki vizuri source yake, uko hivi: "Ukipita katika njia halafu njiani hukukutana na tatizo/changamoto yoyote basi jua kuwa upo katika wrong way".

Otherwise I respect you pengine much kuliko hata hao wanaonitukana na kujionesha kwako kuwa wanakupenda.
....and I love you pia....I real love women! I am not as bad as most of people at mmu are trying to imagine.

And you know what.....!? Am dying to see you!
 
Mchakato wa Kumtafuta JF Woman of the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/230011-polls-jf-woman-of-the-year-2011-a-3.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

AshaDii ni: JF Woman Of The Year 2011 - (WoY 2011)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
WoY AshaDii.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
WoY AshaDii kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images

Haya bwana hongera yake mwanamama Ashadii...
 
sijawahi kusoma comment ya huyo mtu wala mchango wake wa maana hapa jukwaa la siasa, hoja mchanganyiko, biashara etc na wala simjui
 
Greatest Accolades comes with Greatest Responsibilities. as advised above, my take would be to invite you into more forums especially political, international and other thorny issues involving the nation at large. YOur inputs therein would of course be very valuable for the country. My heartfond congratulations and may you prosper in all human aspects of life. and may you not get intertwained in scandles prone to celebrities and big achievers!
 
hahaha.... You know am terrible at Politics....lol

THANK U kwa pongezi..
What do you mean?I dont think you have that problem at all.
Just do what you have been doing, mostly ni maslahi ya Taifa na wananchi ndo waht matters, sky is the limit!
 
Back
Top Bottom