Ukiipata ya Babu Seya na wanae itakuwa safi sana. Hii kesi ina vijimaneno vingi sana sasa ni vema imwagwe hadharani tuuNitaitafuta...........Pia ninayo ya ALI MAUMBA, yule fundi cherehani aliyefungwa kwa kuvinajisi vibinti pale Shule ya Mtendeni......Sijui wengi wanaikumbuka hii kesi!
Hii kesi nilikuwa nipo shule ilikuwa gumzo kubwa.