Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,625
- 5,341
Duh..huyu mama kawakosea nini jamani? Leave the woman to do her job. Kama mwajiri wake yuko confortable na hizo safari kwa nini wengine muone kama anatafuta uraisi? Halafu ultimately wapiga kura ni wananchi..kwa hiyo hata kama akitaka kugombea si kosa maana naamini ni haki yake na wewe mpiga kura ndo utaamua kama anafaa kukuwakilisha au hakufai.
Lets learn not to hate. Lets be proud na achievements za watanzania wenzetu.
Big up mwalimu!
Asha Migiro ni Mkiristo naona unachanganya mambo! au ukiona jina Asha unajua Muislam?
Hawezi kupewa rejea kikao cha UVCCM Bagamoyo
Hapana. She is not Christian. Mumewe ndiye Christian.Asha Migiro ni Mkiristo naona unachanganya mambo! au ukiona jina Asha unajua Muislam?
It seems habari za Illuminati (The baptized) na Freemason zinawachanganya sana kiasi cha kutojua nani ni nani.....na mipaka yao ni ipi?huyu mama ameshaingia free mason? ona walivyoshikana mikono...aina hii ya kushikana mikono inatumiwa sana na iluminati
Hapana. She is not Christian. Mumewe ndiye Christian.
Hapana. Nilikuwa namjibu jamaa aliyesema kuwa she is Christian. She is not. Udini unao mwenyewe. Angalia majority ya mabandiko yako humu.Aisee umeshaanza kudodosa dini..
Mdini mkubwa wewe kwa hiyo akiwa muislam kuna ubaya gani?
Asithubutu huyo, Lowassa na Rostam watamtoa roho.Anataka Uraisi kwa nguvu.
hivi watu wanadhani new york na dar ni mbali sana kwa mtu mwenye uwezo wake?
huko un mtu anawezachukua likizo wakati wowote mradi tu siku zake za likizo
zinamruhusu na sio lazima achukue likizo ya mwezi kama hapa bongo.
huwezi jua katika majukumu yake alikuwa maeneo karibu na bongo hivyo ni rahisi kwake
kuja bongo bila gharama kubwa.
sasa hilo la uraisi kama kweli anautaka ni haki yake pia ila inabidi awe tayari kukabiliana
na siasa za maji taka na madongo toka pande mbali mbali. akiingia huko ajitayarishe
kusikilizia maumivu tuu na namtangulizia pole zangu.
Nini hasa cha kujivunia alichokifanya pale UN? Naona anapigwa promo ya nguvu kweli!
Kuna mambo ya hovyo sana huyu mama amekuwa anafanya. Amekuwa anasuka tuzo za ajabu kwa Tanzania. Mara tuzo ya utoaji bora wa huduma za jamii, mara afya ya mama na mtoto. Na sasa kamsukia rafiki yake Kikwete nafasi kwenye kamati ya UN inayoshugulika na afya mama na mtoto. Hivi Tanzania yenye matatizo lukuki inakuwaje rais bado anatafuta kazi za nje?
Time will tell kwa nini Dr Migiro kila kukicha yuko Dar. hatulii ofisini lakini angekuwa na akili timamu angekaa angeshikilia hicho kibarua alichopewa huko UN. Hapa ataumbuka.